Nahitaji kuwa mchumba

Habari zenu wana jf,kuna rafiki yangu amenishauri nije humu ntapata mchumba kwakua yeye kapata humu na wamefunga ndoa.
Naitaji mwanaume anae itaji mwanamke natoa ahadi mapema nitampenda akitokea umri kuanzia miaka 28-35 awe ana uwezo wa kutatua changamoto na mtafutaji,mimi ni mwanamke mwenye upendo wa kweli karibu in PM
Tayari ushapata
 
Nilipata ziro form 6, kama ulipata kama mm watoto watapata square of zero, je niunge tela kwenye PM yako?
 
Habari zenu wana jf,kuna rafiki yangu amenishauri nije humu ntapata mchumba kwakua yeye kapata humu na wamefunga ndoa.
Naitaji mwanaume anae itaji mwanamke natoa ahadi mapema nitampenda akitokea umri kuanzia miaka 28-35 awe ana uwezo wa kutatua changamoto na mtafutaji,mimi ni mwanamke mwenye upendo wa kweli karibu in PM
Kwenye umri nakushauri anzia 33-42
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom