MREJESHO
Nimeomba vi kazi vya muda humu mpaka nimechoka, nikaona bora nibadilishe gia angani. Nimefungua ki pub kidogo nauza vinywaji baridi na pombe. Hii biashara nzuri san yaani unausa na wewe unapewa ofa unakunywa mara aje mtu anunue konyaki akwambie shutua hapo kidogo, raha sana kweli walefi wanapendana hapa tangu asubuhi nishakunya bia 8. Kweli biashara ya pobe inalipa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.