Nahitaji kusafirisha sofa set pamoja na kitanda na godoro

Coffee

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2017
Posts
1,304
Reaction score
1,313
Habari za muda huu wakubwa. Naomba mwenye kufahamu wasafirishaji wazuri wa mizigo tajwa hapo juu kutoka Dar kwenda Dodoma .
Ikiwezekana nikipata na mawasiliano yao ama sehemu wanakopatikana hii mizigo iko mbezi -kimara. Asanteni
 
Nenda pale jangwani yako magari ya mizigo kibao toka Tanzania nzima tafuta la Dodoma .Watakubebea.
 
Kwa Mbezi sijui,ila nafahamu maeneo ya Rombo kuna mafuso yanabeba mizigo kama hiyo upande wa kushoto ukitoka tu kwenye kituo cha basi kuelekea Kimara,na pengine ni Jangwai nyuma ya workshop ya mwendo kasi pale huwezi kukosa...
 
Habari za muda huu wakubwa. Naomba mwenye kufahamu wasafirishaji wazuri wa mizigo tajwa hapo juu kutoka Dar kwenda Dodoma .
Ikiwezekana nikipata na mawasiliano yao ama sehemu wanakopatikana hii mizigo iko mbezi -kimara. Asanteni
Karibu sana posho city
 
Mkuu, nakushauri utumie treni na hautojuta.
Mimi nimesafirisha masofa matatu pamoja na box moja pamoja na kifurushi, hii ilikuwa kama siku 4 zilizo pita.
Jumla ya mizogo yangu ilikuwa na uzito wa karibu kgs 200. Na hauwezi amini nililipia kiasi cha shilingi zisizo zidi 25,000 hiyo ni pamoja na VAT.
Na baada ya siku mbili nililienda kupokea mizigo yangu Dodoma from Tabora, ilifika ikiwa haija chafuka wala kuharibika.
 
Hiyo sekta ya usafirishaji ina mapungufu sana. Naona fursa nyingi sana kama mtu akiwekeza katika kuunganisha wateja na wasafirishaji kimtandao na kulipwa commission yake
Mkuu jaribu kulifanyia kazi wazo lako kama umeona fursa.
 
Habari za muda huu wakubwa. Naomba mwenye kufahamu wasafirishaji wazuri wa mizigo tajwa hapo juu kutoka Dar kwenda Dodoma .
Ikiwezekana nikipata na mawasiliano yao ama sehemu wanakopatikana hii mizigo iko mbezi -kimara. Asanteni
Don 0658071432 mpigie ndo kazi yake. Ofisi yake ipo magomen
 
magari kuwa makini nayo haloo, wanapiga sana hela. Mm nimesafirisha mizigo kama yako toka moro ila nimeliwa kama laki 2 na kitu hivi hadi kufika dom. Nakushauri fuata ushauri wa kutumia treni. Mm nishavunja na kuchafua mali zangu asilimia kubwa sana
 
Back
Top Bottom