Nahitaji kusafirisha sofa set pamoja na kitanda na godoro

Nahitaji kusafirisha sofa set pamoja na kitanda na godoro

magari kuwa makini nayo haloo, wanapiga sana hela. Mm nimesafirisha mizigo kama yako toka moro ila nimeliwa kama laki 2 na kitu hivi hadi kufika dom. Nakushauri fuata ushauri wa kutumia treni. Mm nishavunja na kuchafua mali zangu asilimia kubwa sana
Sawa mkuu but nilishafanikiwa kusafirisha kwa wasafirishaji wa mizigo wa pale magomeni mwembechai nikavipokea apa dom jamhuri vikiwa salama salimini kwa tshs 140k.
 
mbona kila mtu anataka kuhamia Dom, hii mikoa mingine mnamuacha nani?
 
Mpigie Simu Juma wa Musa Transporters wako pale Mall ya Mkuki House 0712444672 AU Gamalieli 0714303540.

hawa jamaaa wa Musa Transport walinisafirishia mizigo kutoka Dar kwenda Dodoma. Niliipeleka leo kesho yake ikafika Dodoma sala usalimini
 
Kimbia pale mussa transporter jangwani kila mzigo box ni elfu tatu tu kwa ishu ya kitanda na godoro sijui kama itazidi 20 wapo poa sana
Namba zao ngoja nikuangalizie

#Karibu sana dodoma
 
Mpigie Simu Juma wa Musa Transporters wako pale Mall ya Mkuki House 0712444672 AU Gamalieli 0714303540.

hawa jamaaa wa Musa Transport walinisafirishia mizigo kutoka Dar kwenda Dodoma. Niliipeleka leo kesho yake ikafika Dodoma sala usalimini
Hawa jamaa wapo poa sana mimi nawatumia sana nikiwa k/koo, mzigo unafika mapema alafu bei affordable mno

Kongole kwenu Mussa's
 
Uandae na kibali cha maliasili kuna jamaa alikuwa anasafirisha kisturi akakamatwa na maliasili
Wakamwambia kisturi ni mbao hivyo ni nyara ya taifa lazima awe na kibali sasa wewe hicho kitanda jiandae
 
njia rahisi natufa malori yenye mzigo hasa semitrela wanakupakilia juu ya mizigo yao freshi kama 150k
 
Back
Top Bottom