Kuna watu jf hawana adabu kabisa....
Wanatupindisha migongo watu wazima kutoa ushauri kumbe chai tupu.....
Heri kuhamia habari mchanganyiko...
Kuna watu jf hawana adabu kabisa....
Wanatupindisha migongo watu wazima kutoa ushauri kumbe chai tupu.....
Heri kuhamia habari mchanganyiko...
Hakuna thread iliyo ni kera kama hii daaa uongo una mwisho bora habari mchanganyiko watu watunzi sana huku.
Kudadeki nataman angekuwa karibu nimpe makofi
Habari zenu wapendwa, imani yangu ni kuwa mu wazima,
Kuna tatizo hapa, asubuhi ya leo nimekaa najiandaa kutoka kaja binamu wa mume wangu na mabegi kuuliza eti amekuja kukaa nyumbani kwangu asome chuo.
Kumuhoji kawa mkali eti mimi sina ubinadmu na mambo mengi mabaya nikasema tatizo siyo huyo binti kuja tatizo kwa nini hakunijulisha kama walishapanga amlete hapo nyumbani.
Nilichofikiria mimi naondoka niende nyumbani kwetu kidogo nirudi baada ya wiki moja coz haya mambo hata katika familia nilivyokulia baba hawezi fanya kitu kama hicho bila kumjulisha mama.
Hapa nipo sahihi wapendwa?
Wanawake wengine bana ni Viazi, inamaana wewe mtu akitaka kuja kwa mmeo lazima akwambie wewe ndio umpe Visa ama? Nathubutu kusema ni utoto unakusumbua na pili ni kwakuwa hauna watoto bila shaka ndio maana!
ahahahahahaha mzee wa archivesAnajua kuna siku nilishawahi kumuwekea list ya threads zake, na tokea siku hiyo hakuwahi kuanzisha tena thread kwa ID yake hii...
Habari zenu wapendwa, imani yangu ni kuwa mu wazima,
Kuna tatizo hapa, asubuhi ya leo nimekaa najiandaa kutoka kaja binamu wa mume wangu na mabegi kuuliza eti amekuja kukaa nyumbani kwangu asome chuo.
Kumuhoji kawa mkali eti mimi sina ubinadmu na mambo mengi mabaya nikasema tatizo siyo huyo binti kuja tatizo kwa nini hakunijulisha kama walishapanga amlete hapo nyumbani.
Nilichofikiria mimi naondoka niende nyumbani kwetu kidogo nirudi baada ya wiki moja coz haya mambo hata katika familia nilivyokulia baba hawezi fanya kitu kama hicho bila kumjulisha mama.
Hapa nipo sahihi wapendwa?
hujiuliz kwann ticha amebadilisha methodology?Hakuna thread iliyo ni kera kama hii daaa uongo una mwisho bora habari mchanganyiko watu watunzi sana huku.
ahahahahahaha mzee wa archives
yani hicho kichwa kina ubongo au CPU?
hahahahaha unandai ballantino!
Usiondoke,si kaja kusoma tu akimaliza shule anaondoka zake,mimi kwangu nina wifi yangu ninakaa nae tokea niolewe,yaani nimeolewa tu akaja,nina shemeji zangu 3,na nina mtoto wa shemeji yangu 1,mtoto wa mme wangu 1,na wanangu watatu.Wewe kuletewa huyo tu mmoja tena kuna sababu kabisa ambayo kaja kusoma tu,Binti tulia kwako huyo anapita tu.Kama mme hajakujulisha samehe tu,itakuwa yeye alichukulia easy tu
Mimi msukuma hii ya kuishi na watu wengi home ni kawaida tu,tunakuwa nayo.Kwa hiyo mimi nilipokuwa na kwangu wala hainisumbui kuwa na extended familyKuna watu mna roho nzuri dunia hii aisee.
Mungu awazidishie.
Nakiri wazi kuwa mambo ya ujamaa siyawezi, kama unakuja kwangu hakikisha kesho yake unasepa, kwangu kuwe kama kituo.
Mimi msukuma hii ya kuishi na watu wengi home ni kawaida tu,tunakuwa nayo.Kwa hiyo mimi nilipokuwa na kwangu wala hainisumbui kuwa na extended family
kumbe wewe wifi yangu,ndo zetu hizo,japokuwa mimi sijaolewa na msukuma,tena wakati mwingine huwa natamani waongezeke.kumbee...!bas shost mzaramo mie nimempata ngosha ndo mana wamejazana kwanguuuu...!nami wala sipati shida mama nimekuelewa sana ndo mana kwa ma mkwe wangu wapo kibao!
Wifi yangu ndo msumbufu ana 28yrs,lakini huwa nampa makavu,pia namuombea tu aolewe nae aende kwake,ki ukweli huwa sisumbui kichwa changu kuhusu wao as ninajua ni wapitaji tu
hahahahaaaa,,,,,, we unafikria kutokuoa, ukae single, huyu mankaa anafikiria kurudi kwao; sasa tofauti yako na yeye ni ipi? Ushasoma maoni hapa, jifunze namna ya kuishi na mke na ndugu, kaoe utengeneze tofauti. Cha!