Nahitaji kupungua Mwili/ Kilo. Naumia sana

Jamaa zangu wanakula sana tizi kila jmosi alafu wakimaliza wanachoma mbuzi wawili na bia kreti za kutosha cha ajabu hakuna aliye pungua zaidi ya kuonhezeka tu
Mazoez wiki zipatikane siku 3.. hao hawawez kupunguza hata kidogo mana hiyo jmos wanaongeza appetite ya kula tu
 
Asante sana...
Usile vyakula vya wanga,usile vyakula vya sukari,Usile vyakula vya mafuta iwe vya kukaanga kama chips au vya kumimina Mafuta mengi, funga mara 2 kwa wiki, unapoamka asubuhi chukua kipande cha limao kamulia kwenye maji ya vugu vugu kisha kunywa,Inatakiwa pia uwe unakula Milo miwili tu yani mchana na usiku tu na ukila usiku epuka kula muda mchache alafu ukaenda kulala subiri walau lisaa moja ndio ulale, breakfast waachie wanawake na wavulana kama kweli utafanya haya niliyokuelekeza ni mwezi mmoja tu utaona mabadiliko makubwa

Cha ziada nakushauri ufanye mazoezi ya kegels,maozezi ya pumzi na mazoezi mengine kitambi kitaondoka six packs zitakuja,pia piga push walau ishirini kila siku.
 
Back
Top Bottom