storyteller
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 1,544
- 1,874
Mkuu Storyteller. Naona kama unamwanga mzuri wa namna ya kuwapata hawa watu! unasaidiaje hapo!?
Mkuu. Asante sana kwa maelezo haya, nadhani wengi wetu tulikuwa hatufahamu chanzo/mwanzo wa jarida hili! Asante sanaNico ye Mbajo ni Muasisi mwenza wa gazeti la Sani - Yeye na rafikiye Said M. M. Bawji Walianzisha Gazetila Sani lililokuwa maarufu tokea Miaka hiyo ya 1980
. Sani ni muunganiko wa silabi za mwanzo za majina yao - 'SA' kutoka kwenye Said na 'NI' kutoka kwenye Nicco. Ndiye aliyewabuni wahusika wakongwei wa gazeti la Sani: Kipepe, Ndumilakuwili...huyu ni mkongwe asiyevuma lakini mwenye mchango mkubwa sana kwenye fasihi simulizi kupitia utunzi, uandishi na uchoraji. Inasemekana baada ya kutofautiana na Bawji ndiyo alianzisha jarida lake la 'Mcheshi'.
Kumbuka kuwa Miaka ile Ya Nyuma Majarida Vitabu na Michezo ya Redio ilitumika sana kuelimisha Jamii yetu ...Burudani ilikua kubwa sana kupitia Fasihi Andishi
Nico mwenyewe huyo hapo chini.
Chanzo: fesibuku
[emoji116][emoji116]View attachment 1555689
Tena hukoooo Dar!Mie nilikuwa najua watu kweli tena wanaishi
Kuna shimo nilikuwa nimeyahifadhi haya! Umenikumbusha. Ngoja nikayafukue!
Nitarudi kuleta MREJESHO!
Hapa sasa naona tunaanza kuongea lugha moja! mkuu tunapataje hayo mambo. hahahahahaha
Tena hukoooo Dar!
Mapungo...mjomba nchumali...komrade kipepe...mapungo Golden boy alienda adi klabu ya real madridWazee wa bush stars.
Mi nipo Mwanza, ila haya magazeti yapo Nyumbani Chunya. Bwana mdogo nimemuomba anipigie picha na kunitumia. Nakumbuka, hilo gazeti la TABASAMU ninalo kuanzia toleo namba 1 mpaka la mwisho. Bongo kuanzia namba 5. Ambha ninalo namba 1 mpaka la mwisho. Sani sina uhakika kuanzia namba ngapi!Hapa sasa naona tunaanza kuongea lugha moja! mkuu tunapataje hayo mambo. hahahahahaha
Mkuu nipo dodoma kwa sasa! lakini hakuna kinacho shindikana
Safi sana! hiyo imekaa vizuri! hayo ni kuyazalisha tu. hakuna namnaMi nipo Mwanza, ila haya magazeti yapo Nyumbani Chunya. Bwana mdogo nimemuomba anipigie picha na kunitumia. Nakumbuka, hilo gazeti la TABASAMU ninalo kuanzia toleo namba 1 mpaka la mwisho. Bongo kuanzia namba 5. Ambha ninalo namba 1 mpaka la mwisho. Sani sina uhakika kuanzia namba ngapi!
Kuna sehemu nimeyahifadhi. Bado mapyaaa!
Mchoraji wa kwanza alikuwa Nico Ye Mbajo (kama ilivyoelezwa hapo juu kuwa alikuwa mmiliki mwenza) pia alikuwepo kiboko ya wachoraji wakati huo, akiitwa PHILIPO NDUNGURU.Kaduma alipokufa au kufariki kila kitu kilipotea Sani
Yaani haya magazeti nilyapenda sana plz tunaomba ukiyapata utujulishe hata kwa.malipo tutanunua ili tutoe copy kwa ajiri ya kujisomea wengine digital world imekaa pembeniMi nipo Mwanza, ila haya magazeti yapo Nyumbani Chunya. Bwana mdogo nimemuomba anipigie picha na kunitumia. Nakumbuka, hilo gazeti la TABASAMU ninalo kuanzia toleo namba 1 mpaka la mwisho. Bongo kuanzia namba 5. Ambha ninalo namba 1 mpaka la mwisho. Sani sina uhakika kuanzia namba ngapi!
Kuna sehemu nimeyahifadhi. Bado mapyaaa!
Haya magazeti ukiona cover lake tu utatamani,jamaa walikuwa wanachora wanawake wanavutia balaa halafu mazingira mazuri,magari makali,majumba,sijui hawa wachoraji wapo bado?
😔Nico ndo muanzilishi wa lile gazeti... enzi izo said anafanya kaz benk tanga... alipoielewa ile idea akamshawishi nico waiprint kwa ushirikiano(niko awe anasanifu, said awe anatoa pesa)... jina wakaita sani (SAid na NIco) baadae biashara ilivokua said akamdhulumu nico kwa kuwa jamaa wa watu hana tamaa akamuacha tu.... uaminifu kupita kias na kutojali kulimponza nico.... alilipwa mia4 tu ya kipindi icho tena kama msaada sio malipo ya mgao... so sad
rekebisho kidogo wahusika kipepe na ndumilakuwili ni wa marehemu Philip NduguruNico ye Mbajo ni Muasisi mwenza wa gazeti la Sani - Yeye na rafikiye Said M. M. Bawji Walianzisha Gazetila Sani lililokuwa maarufu tokea Miaka hiyo ya 1980
. Sani ni muunganiko wa silabi za mwanzo za majina yao - 'SA' kutoka kwenye Said na 'NI' kutoka kwenye Nicco. Ndiye aliyewabuni wahusika wakongwei wa gazeti la Sani: Kipepe, Ndumilakuwili...huyu ni mkongwe asiyevuma lakini mwenye mchango mkubwa sana kwenye fasihi simulizi kupitia utunzi, uandishi na uchoraji. Inasemekana baada ya kutofautiana na Bawji ndiyo alianzisha jarida lake la 'Mcheshi'.
Kumbuka kuwa Miaka ile Ya Nyuma Majarida Vitabu na Michezo ya Redio ilitumika sana kuelimisha Jamii yetu ...Burudani ilikua kubwa sana kupitia Fasihi Andishi
Nico mwenyewe huyo hapo chini.
Chanzo: fesibuku
[emoji116][emoji116]View attachment 1555689
Watoe copySijajua, ngoja siku ifike. Sio lazima wote mpate sawa au yote yaende kwa mtu mmoja. Nia wote tufurahi