Nahitaji kupata Majarida ya "Sani"

Hivi Sani wamefeli wapi? Ndo kusema yale magazeti hayakuwa na soko? Maana hata leo wakiachia nna uhakika watapiga pesa, soko liko vile vile as long as wanazungumzia na udaku pia kama magazeti mengine.
 
Wanatakiwa wa develop waingie ubia hata na wachina waanze kuzitengenezea animation watapiga sn pesa cz watoto kwa wakubwa watanunua.
 
Mkuu uko sahihi kabisa, wakisema wazalishe na kuyaleta sokoni, wanaweza kutengeneza faida. Muda mwingine nawaza labda hawana hata back up au copy ya series za matukio ya jarida hilo.
 
Linda na seba. Pamoja na gaidi zumo . Lazima utulie usome. Nilikua nasoma kikosi cha kisasi na njama kwa kurudia mara kadhaa kwa utata mzee ukichelewa kurudi kichapo
 
Yapo home Dar, ila kwasasa nipo mkoa mmoja wa nyanda za juu Kusini kikazi mpaka tar 15.
Tutachekiana
Jombaa nami usinisahau,nakumbuka mbali sana,mpamano wa soka Bush stars vs Born Town.....Mzee meko kontrol za hatari sana....
 
Wanatakiwa wa develop waingie ubia hata na wachina waanze kuzitengenezea animation watapiga sn pesa cz watoto kwa wakubwa watanunua.

Kweli kabisa mkuu, Na kitu kitachowafanya sani wapige pesa ni zile story zao na katuni tu baas maana zinapatikana kwao pekee, kama habari za wasanii na matukio tutazipata mtandaoni ila original contents kwa SANI ndo wenyewe. Wao walikua na soko lao peke yao. Tena kwa dunia ya sasa wakizihamishia hizo katuni kwenye TV ndo watamaliza kila kitu.
 
Mkuu uko sahihi kabisa, wakisema wazalishe na kuyaleta sokoni, wanaweza kutengeneza faida. Muda mwingine nawaza labda hawana hata back up au copy ya series za matukio ya jarida hilo.
Walikuwa na watunzi wazuri,wachoraji hodari kama John Kaduma(R.I.P)...
 
mzee niwezeshe namba yako inbox..tunaweza yascan kwa soft copy na kuyaanzishia thread hapa jamiiforums hawa vijana wapate kitu ni muhimu sana kwani ni sanaa inayokufa,,,,,,mi nipo dar mkuu
 
Wazo zuri sana mkuu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…