Nahitaji kupata majani ya mnanaa

Kariakoo Sokoni upande ule wa chini unaotizamana na Maduka ya bidhaa mchanganyiko
Hakuna haja ya kwenda hata huko kariakoo, hayo majani yapo tu. Mara nyingi yanaota pembeni mwa barabara kwenda kariakoo ni kupoteza mda wako na kupigwa pesa bure tu, uswazi yanatumika sana kama mafagio.
 
Sawa asante, ila itabidi unihakikishie kwamba tutafanya test ili tuthibitishe kama dawa inatibu kweli. Ili usaidie kwenda kuwaambia wazee wenzangu Bonny na Asprin kwamba kweli dawa inatibu, maana ni wagumu kweli kukubali kama kuna dawa.

Sio kirahis namna hyo aisee hayo majan yako ya mpapai wala usisogee nayo nak nayo huko huko
 
Kweli kabisa japo nina miaka mingi sana bila kuuona huu mmea kwetu kule masaini ilikuwa ni dawa mbadala ya minyoo kwa watoto ilikuwa lazima watoto tuitumie japo mara mbili kwa mwaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…