Hii mbona ni mint?Hahahaha una majibu wewe. Kwa english unapata picha hio ila ukigoogle kwa kiswahili unapata hii pichaView attachment 467490
Hii mbona ni mint?
Hahahahaaa!ha ha ha ha dada wewe humfahamu huyu binti anapenda maduku duku balaa
Ha ha ha ha madam albamu nakuna umeshaamka sasaAsubuhi muruaView attachment 467670
Huu ni mvuje sio mnanaaKwa msaada wa GoogleView attachment 467475
Haya majani mbona yapo mengi sana kwenye googleKwa msaada wa GoogleView attachment 467475
Hahahaaa! Na kwako mumyAsubuhi muruaView attachment 467670
Haya majani mbona yapo mengi sana kwenye google
Ha ha ha ha madam albamu nakuna umeshaamka sasa
Nenda kkoo sokoni wanapouza mboga mboga uliza mnanaa au mint pia mwenge ipo elfu moja au mia tano kwa funguNdugu zangu nawasalimu!
Huenda lisiwe jukwaa sahihi lakini naomba msaada; Ni wapi hapa TZ naweza kupata majani ya Mnanaa (Curry Leaves). Wale wazoefu masoko kama kisutu, Buguruni na sehemu zingine, hata wale wa Morogoro au Tanga wanijuze nina ndugu huko nitawaagiza, nina shida nayo sana waungwana nisaidieni kunijuza wapi yanapatikana
ha ha ha kwan uongo sasa maana albamu yako kibokoHahahaha na jina ushanitungia,wewe mtata
ha ha ha kwan uongo sasa maana albamu yako kiboko