nahitaji kununua youtube channel, iliyo qualify kudisplay ads kama unayo njoo inbox, ila kabla sijafanya malipo tutaangalia status ya account kama ni safe (haijapata warning nyingi) kwa kutumia Team Viewer then nitafanya malipo tutakayo kubaliana.
Natanguliza shukran
Natanguliza shukran