Nahitaji kununua TV ila sijui ipi ni bora zaidi na ni full HD

Tafuta Samsung yeyote ambayo ni Qled Model ya Q inaanzia Q5 sasa wapo Q9


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hakunaga za size hiyo acha ushamba!

Wewe ndio Msamba Ninayo Samsung Q model inch 82 kama utahitaji
IMG_1671.JPG
IMG_1671.JPG



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nijambo la kueleweshana sio kuitana washamba tambua ujinga wa mtu nikile mimi nacho kifaham na wewe haukifaham ili kuondoa dhana ya ujinga huwa tuna eleweshana



Sent using Jamii Forums mobile app

Ok. Pole sana kama nilitumia maneno makali sana ila kama nilivyokueleza hapo juu inaonyesha kuna zenye inches kubwa zaidi hata ya nilizozitaja hapo
 
TCL, LG, SAMSUNG ama SONY. Inategemea na mfuko wako uko imara kiasi gani.

Kama uchumi wako ni alijojo basi kuna Soyi, Mr.UK, Singsung,Aborder,Solistar,Rising,bruhm n.k. Haya ni makampuni yaliopo level za tecno,itel,xytel katika nyanja za TV.
Mimi naishi dunia ipi? yaani hizi zote ni TV
 
Back
Top Bottom