Nahitaji kununua TV ila sijui ipi ni bora zaidi na ni full HD

enery

JF-Expert Member
Aug 21, 2015
371
500
Naomba msaada wa ushari napenda kununua TV kwa ajili ya watoto na familia ila sijui ipi ni bora na nzuri zaidi na ni full HD hata nikikaa kunagalia kandada home niwe naenjoy pia. Msaada wenu wa ushauri plz ila isiwe brand ya kichina tu. Sijui ipi bora zaidi kati ya Samsung na Sony?
 
Ladder 49

JF-Expert Member
Dec 19, 2017
2,645
2,000
Lg na samsung(series9) ndio bora kwa sasa kwa TV, ila kigezo kingine ni 4k ,hiyo 4k ni ubora wa quality ya picha,kwahiyo hiyo 4k ni zaidi ya full HD,na pia iwe smart tv. kwa ushauri wangu kama unahela nunua LG ,halafu angalia kama ni smart tv na iwe ni 4k na sio full Hd.kweye full Hd tumesha ama tupo kwenye 4K
 
Samahini waweza nisaidia bei zake ili nione kama naweza kuafford ama laah kabla ya kufunga safari kuja dar
 
enery

JF-Expert Member
Aug 21, 2015
371
500
TCL, LG, SAMSUNG ama SONY. Inategemea na mfuko wako uko imara kiasi gani.

Kama uchumi wako ni alijojo basi kuna Soyi, Mr.UK, Singsung,Aborder,Solistar,Rising,bruhm n.k. Haya ni makampuni yaliopo level za tecno,itel,xytel katika nyanja za TV.
Brother hao mengine hata sitaki mana nimeona kwa jirani majanga yake, ndo mana nataka brand ya uhakika
 
PRINCE CROWN

JF-Expert Member
Feb 12, 2013
4,901
2,000
Tafuta "SAMSUNG SMART TV" " OLG SMART TV" " TCL SMART TV" " SONY SMART TV" Kama unataka ubora wa picha na Intanet, facebook,twitter. Yoetube pia zina uwezo wa kuunganisha Home Wife kupata internet. IPT TV Online tafuta tv hizo zina Browser ndani ni zaidi ya tv Mzee baba pia picha ni ngavu sana.
 
Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
23,269

Hizi kwa sasa ndio tv mzee baba. Wengine wanafata kwa mbali na zingine ndio takataka kabisa! Woiii!!
 
enery

JF-Expert Member
Aug 21, 2015
371
500
Hahaha nilisahau Star-X nayo jau tu, kama una hela kweli nunua brand ya maana kati ya hizo 5! It will take you through 5 years without issues!
Asante, kwa mlioko mjini naomba mnisaidie bei nijipange kuja mjini kwenu kuchukua mzigo, Bei ya samsung na sony then nijue najipangaje? Nasikia nikifika mlimani city sijui nazipata zote hapo
 
danjaboy

JF-Expert Member
Oct 20, 2014
213
500
Lg na samsung(series9) ndio bora kwa sasa kwa TV, ila kigezo kingine ni 4k ,hiyo 4k ni ubora wa quality ya picha,kwahiyo hiyo 4k ni zaidi ya full HD,na pia iwe smart tv. kwa ushauri wangu kama unahela nunua LG ,halafu angalia kama ni smart tv na iwe ni 4k na sio full Hd.kweye full Hd tumesha ama tupo kwenye 4K
Upo sahh hii 4k iko vizuri sana ninayo home muonekano wa picha zake ni amazing then unaweza lipia humo humo ukacheki movie, serious na vinginene kibao, mqana wana netflix, showmax n.k kajipatie uenjoy aisee
 
Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
23,269
2,000
Asante, kwa mlioko mjini naomba mnisaidie bei nijipange kuja mjini kwenu kuchukua mzigo, Bei ya samsung na sony then nijue najipangaje? Nasikia nikifika mlimani city sijui nazipata zote hapo
Mlimani City zipo zote hata zile latest ila bei ni za kitalii. Hilo naomba nikufahamishe tu mkuu. Bei ni kulingana na size ya TV. We unavutiwa na inch ngapi mkuu. Maana sahivi kwangu mie naona standard ni inch 50-55 hapo!
 
PRINCE CROWN

JF-Expert Member
Feb 12, 2013
4,901
2,000
Vitu vizuri ni gharama mkuu. Ila kama unataka mafafa utabata kwa bei poa ila utajutia kukwepa gharama.

Ukitaka 4K andaa kuanzia M1 Kwenda juu. Ila TCL Kidogo bei zao ni rafiki nch 32 mpaka laki 6.5 unakwarua. Nch 40 laki 9.5 mpaka M1.2 unakwarua zote ni SMART TV. TV Hizi ni hatariii sana mkubwa.
 
Vladimir Lenin

JF-Expert Member
Jul 21, 2018
2,854
2,000
Vitu vizuri ni gharama mkuu. Ila kama unataka mafafa utabata kwa bei poa ila utajutia kukwepa gharama.

Ukitaka 4K andaa kuanzia M1 Kwenda juu. Ila TCL Kidogo bei zao ni rafiki nch 32 mpaka laki 6.5 unakwarua. Nch 40 laki 9.5 mpaka M1.2 unakwarua zote ni SMART TV. TV Hizi ni hatariii sana mkubwa.
Nadhan price zinazidi kushuka kila kukicha, kuna sehem pale mwenge niliulizia hyo TCL 32" Smart bei ni Laki nne na tisini na deliver juu mpk ulipo kwa dar.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom