Mimi was HISENSE nakaa wapiHahah lakinisi ushaelewa upo kundi gani mkuu? Watu wakizungumzia TV we kaa kwa kutulia na wala usiwacheke wamiliki wa Tecno!
Sikushauri kuchukua SONY kwa sasa,hawa jamaa walikuwa vizuri enzi za CRT technology na technology yao ya trinton colours display lkn kwenye hii technologia ya flat TV si wazuri kuna wakati wa LCD,TV zao nyingi sana zilikuwa na matatizo kwenye display haswa kioo kupata fungus na fault za T-con na hata kwenye LED haswa walipoanza kutumia external power supply (adaptors za 19V) shida ikaamia kwenye control board zao. Ila unapaswa kuelewa kuwa wakati umebadilika hatupo kwenye kuangalia issue ya brand,unapofika dukani tazama TV ipi yenye specifications kubwa kulingana na bajeti yako na teknologia mpya,muonekano wa display ya TV (ubora wa picha) u slim wa TV,power consumption, ports. nk ila technologia hii kwenye ubora wa picha imetaliwa na LG,SAMSUNG na kampuni moja hivi ya China hawa ndiyo manufacture wa kubwa wa display za TV,monitor na laptop hivyo ukiona kama Evvoli,TCL,Hisense,Boss inakuvutia wewe nunua.
Samsung ya LCD ambayo sio smart sijui ndo zinaitwa LED tv mimi sio mtaalam, hivi ile mfano inch 50 naweza kuipata kwa pesa ngapi!!Vitu vizuri ni gharama mkuu. Ila kama unataka mafafa utabata kwa bei poa ila utajutia kukwepa gharama.
Ukitaka 4K andaa kuanzia M1 Kwenda juu. Ila TCL Kidogo bei zao ni rafiki nch 32 mpaka laki 6.5 unakwarua. Nch 40 laki 9.5 mpaka M1.2 unakwarua zote ni SMART TV. TV Hizi ni hatariii sana mkubwa.
Mkuu ushauri kwa hisense LED Inc 32Sikushauri kuchukua SONY kwa sasa,hawa jamaa walikuwa vizuri enzi za CRT technology na technology yao ya trinton colours display lkn kwenye hii technologia ya flat TV si wazuri kuna wakati wa LCD,TV zao nyingi sana zilikuwa na matatizo kwenye display haswa kioo kupata fungus na fault za T-con na hata kwenye LED haswa walipoanza kutumia external power supply (adaptors za 19V) shida ikaamia kwenye control board zao. Ila unapaswa kuelewa kuwa wakati umebadilika hatupo kwenye kuangalia issue ya brand,unapofika dukani tazama TV ipi yenye specifications kubwa kulingana na bajeti yako na teknologia mpya,muonekano wa display ya TV (ubora wa picha) u slim wa TV,power consumption, ports. nk ila technologia hii kwenye ubora wa picha imetaliwa na LG,SAMSUNG na kampuni moja hivi ya China hawa ndiyo manufacture wa kubwa wa display za TV,monitor na laptop hivyo ukiona kama Evvoli,TCL,Hisense,Boss inakuvutia wewe nunua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hivi atalizwa mtu