Nahitaji kununua kasuku

Nahitaji kununua kasuku

Mr muhuni

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2014
Posts
1,304
Reaction score
1,268
Wakuu kwema nahitaji kasuku (
Parot ) wa kununua nipo Arusha au msaada wa wapi ntaweza pata kasuku mmoja.

-----update------
Wakuu bado sijampata huyu ndege nampenda na namuhitaji zaidi ya Sana nimeweke home
Ni pm .mwenye info kamili za WAP nampata hapa Arusha au moshi nitamfata popote alipo please!

-------++update++------
28/03/18 time 2124
Wakuu narudia tena bado sijampta huyu ndege kasuku ( parrot) Kwa kweli Adi Leo Hi naombeni msaada wenu please watu wa Arusha moshi na manyara na pia Kama kuna officer Mali asili yeyote ntafurahi nipo zaidi ya serious Kwa huyu ndege jamani sihitaji jokes
 
Huyo ndege sijamuona siku nyingi sana
 
Daahh sipo DSM Kwa sasa mkuu
Mkuu siku hizi umbali sio kikwazo cha biashara, Jiongeze ongea na mdau akuunganishe na wahusika, wao watafanya utaratibu wa ku deliver mzigo
 
Mkuu siku hizi umbali sio kikwazo cha biashara, Jiongeze ongea na mdau akuunganishe na wahusika, wao watafanya utaratibu wa ku deliver mzigo
Daahh wapigaji wengi mno siku hizi wanakuja na io gear ya kudeliver
 
Wakuu kwema nahitaji kasuku (
Parot ) wa kununua nipo Arusha au msaada wa wapi ntaweza pata kasuku mmoja.

-----update------
Wakuu bado sijampata huyu ndege nampenda na namuhitaji zaidi ya Sana nimeweke home
Ni pm .mwenye info kamili za WAP nampata hapa Arusha au moshi nitamfata popote alipo please!
Nasikia kigoma wapo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom