Mkuu unaweza kunipatia angalau contact za muhusika? Nakuja PMGPS map nzuri ni Garmin na bei zake ni zaidi ya 900K
Mfano garmin 66S ina display nzuri, digital touch ya 3"
Bei yake ni 1.3mil
Nyingine utapewa ambazo accuracy yake ni ndogo hivyo ukawa wabahatisha