mishe bwoy
Senior Member
- Oct 26, 2014
- 116
- 34
wakuu..najua kuna watu wana ac mingi za facebook na hawaihitaji kuzitumia zipo tu random..Kiukweli nina shida na ac za facebook kwa ajili ya kufanyia kazi zangu za kushare habari zangu za blog na sio nia nyingine..
Kwa nini nisifungue menyewe mpya?????
Facebook kwa sasa ukifungua ac mpya na ukaanza kufanyia kazi ya kushare habari ndani ya siku 3 ac inafutwa kabisaaa inakuwa disabled wala sio blocked..disabled that means hutaweza itumia tena..So ac zilizokaa kuanzia miezi 4 ndio zinafaa kufanyia kazi...
SO KAMA UNA AC YA FACEBOOK AMABYO HUITUMII NI PM HATUTASHINDWANA