1. Vingamuzi vya kulipia
2. Vingamuzi ambavyo sio vya kulipia
Kwa vingamuzi vya kulipia AZAM wanafanya vizuri, na kama bajeti yako ni kubwa na utamudu kulipia kila mwezi DSTV hana mpinzani. Mahitaji ya channel ndio kigezo cha uchaguzi wa kingamuzi sahihi.
Kwa vingamuzi ambavyo sio vya kulipia, FTA
- Yako matoleo mengi kwa ghalama tofauti tofauti.
- Mahitaji ya channel uzitakazo ndio ndio kigezo cha uchaguzi wa hizi FTA decoder.
- Vingamuzi vinavyofanya vizuri kwa sasa ni ALPHABOX na FREESAT V7 (hapa chagua kati ya Freesat v7 Max au Freesat v7 Combo)
- Vingamuzi vingine ni kama: QSAT, Strong SRT, GSKY, TIGER etl
Jifunze zaidi kuhusu hivi vingamuzi vya FTA kupitia hii thread
Asante Magufuli kwa kutujali watumishi wa Umma kwa kutushushia King'amuzi cha Dstv mpaka elfu69,kweli unatupenda Baba,mungu awabariki wewe na mwanao Daudi Bashite.