Nahitaji kulewa

Nahitaji kulewa

Smile

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Posts
15,347
Reaction score
11,626
Sijawai kudrink
but leo naitaji kulewa ili nilale fofofo
kwa wale wadau pombe ipi ni nzuri?
 
Naomba nianze kwa kukupa pole maana sio kitu kizuri unataka kufanya kuna mafisi maji yakikuona umelewa yatachukua advantage onyo ulevi noma.
 
nitakunywa home,room kabisa..nipe formula
 
Sijawai kudrink
but leo naitaji kulewa ili nilale fofofo
kwa wale wadau pombe ipi ni nzuri?
Ndugu yangu unasema hujawahi onja, umejuaje kwamba ukinywa utalala fofofo??????
 
anza na redds,mbili za baridi ila uzinywe taratibu kama hutaki au kama umeshiba
kisha malizia na wine, red sweet wine pia iwe ya baridi au weka ice cubes. U can use dompo au altar, hope u'll enjoy. This is according to me usianze na vinywaji vikali hivi vitakupa raha flani ya utamu wakati unakunywa hasa kama hujazoea ladha ya uchungu ya pombe. Ila andaa supu ya nyama au samaki asubuhi.
Wine waweza kunywa nusu chupa au glass 3 tuu za wine baada ya hapo utakuwa byee au waweza hata usizimalize.
Usiache kutupa feedback, have a nice time na enjoy!!!!
 
viroba navo vinatumikaje
 
Nakuomba usijaribu tafadhali. Ukipuuzia ushauri huu utakuja juta.
kwa nini mkuu? by the way majuto yapo tu duniani sio lazima iwe umekunywa pombe..
 
Back
Top Bottom