Nahitaji kuku wa kienyeji pure

E52

Member
Oct 31, 2010
81
14
Wakuu ninashida ya kuku wa kienyeji pure ambao wamebakiza kama mwezi au wiki tatu waanze kutaga...nahitaji mitetea kama 100.....natanguliza shukrani,,,,,
 
Mm ni mfugaji wa kuku wa kienyeji na mbegu nilizonazo ni nzuri namb yangu ni 0712 419 419 karibu sn
 
Napatikana temeke tetea nauza elfu 10 kwa kuku m 1 hadi 12 kufatana na ukubwa wa kuku majogoo nauza 20 had 25 mbegu ya Australia karibu sana
 
Napatikana temeke tetea nauza elfu 10 kwa kuku m 1 hadi 12 kufatana na ukubwa wa kuku majogoo nauza 20 had 25 mbegu ya Australia karibu sana

Nilizan utasema jogoo Kuchi,Singamaganzi au Bukin!!maana ndio kuku pure wa kienyej ninao wajua mimi nikisikia Australia najua hapo lazima kuna nusu mzungu nusu mswahili samahan ufafanuz kidogo mbegu ya Australia n kienyej pure?
 
Wakuu ninashida ya kuku wa kienyeji pure ambao wamebakiza kama mwezi au wiki tatu waanze kutaga...nahitaji mitetea kama 100.....natanguliza shukrani,,,,,

mm ninao kuchi jogoo la miezi Miwili na nusu nauza elfu60 na tetea wake elfu50 km upo tayari 0712400460 nicheki
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom