Nahitaji kujua tunda walilokula Adam na Hawa

Nahitaji kujua tunda walilokula Adam na Hawa

Cartoon my daughter manake nn,..
Kazi kweli kweli, usiangalia vikaragosi, vitakuharibu hilo tunda hayupo mtu hapa duniani amekwisha wahi kuliona, ata Adamu na Eva hawalikumbuki maana walitolewa bustanini mara moja
 
Mti wa kati upo dunian kote
Hapana, upon bustani ya EDENi,binadamu alifukuzwa toka bustani hiiyo na MUNGU kwa utovu wa nidhamu natokea hapo hakuna binadamu aliyekanyaga hapo kwa kuwa MUNGU hakuwahi kubatilisha adhabu ya kufukuzwa nakutupwa duniani.
 
Kazi kweli kweli, usiangalia vikaragosi binti yangu, vitakuharibu hilo tunda hayupo mtu hapa duniani amekwisha wahi kuliona, ata Adamu na Eva hawalikumbuki maana walitolewa bustanini mara moja

Nani binti sasa apa...Na kama hakuna aliyeliona we umelijuaje,..
 
Umenikumbusha maumivu, yaani yule dada ndiyo alitusababishia changamoto mpaka leo.Wanawake siyo watu aisee.yeye ameambiwa usile hayo mapera yeye kadanganyika akala , Ona sasa tunavyosumbuka na maisha kwaajili yao.
 
Hapana, upon bustani ya EDENi,binadamu alifukuzwa toka bustani hiiyo na MUNGU kwa utovu wa nidhamu natokea hapo hakuna binadamu aliyekanyaga hapo kwa kuwa MUNGU hakuwahi kubatilisha adhabu ya kufukuzwa nakutupwa duniani.
Kuna wana anthropologist walilocate Eden walisema IPO mitaa ya Iraq nadhan,.. Ebu check Mr Google
 
Mti wa kati ni K ndugu!!!
Shetwani alikula Eva akanogewa akapeleka story kwa Adam naye akala akanogewa!

Unakumbuka mimba ya Eva yenye Habili (Mungu) na Kaini (shetwaini)?

Unajua hata leo ukisha gegeda ukapizi huwa unajitahayari? (kujiona uchi)

HILI NI FUMBO LA IMANI.
Sio kweli mkuu, mbona walipoumbwa wakaambiwa na Mungu, zaeni mkaongezeke muijaze dunia, sasa wangezaaje bila kuduu!!! Wengi wanapotoshwa sana. Ni tunda kweli walikula kama matunda mengine......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Apple of Eden.. kuna kastory kamewekwa kwenye Movie inayoitwa The Assassin ya Mwaka 2017 kaitafute uenjoy hilo tunda likoje na lina kasheshe gani kulipata... maana yasemekana kuna hadi mlinzi wake tokea lilipotoka huko Bustanini ukifanikiwa kuwa nalo tu unakuwa na akili mno na linazuia hadi kufa hahaha
 
Ni kweli walikula tunda la mti uliokatazwa..watu wanadhani kuwa tunda ni Adamu kumuingilia Hawa, hapana kwa sababu alipowaweka aliwaambia zaeni mkaijaze nchi..wangezaaje kama si kwa Adamu kufanya yake? Na hiyo bustani nadhani iko Ngorongoro huko..kwa sababu mbili..moja Dr Leakey aligundua fuvu la kichwa cha binadamu wa kwanza na kwa kutumia C14 walijua kaishi miaka milioni ngapi sijui iliyopita..hadi leo hakuna ushahidi mwingine wowote unaoonesha binadamu wa kwanza alieishi miaka mingi zaidi ya huyo wa Dr Leakey...na fuvu hili lilipatikana Olduvai ambayo iko Ngorongoro.. Pili tunaambiwa wanyama na binadamu walikuwa wanaishi pamoja..ni eneo gani duniani utakuta mtu anapita na simba anajipitia kwa raha zake bila hata kumdhuru zaidi ya Ngorongoro crater?
 
Mkuu;
Ukisoma kwa kutohoa hutaielewa habari husika. Soma malizia somo lako. Inasemekana kuwa Mungu aliwafukuza kutoka katika ile bustani na akaweka ulinzi mkali kuzuia mtu yeyote kuingia tena katika ile bustani.
Sasa, hilo tunda lilitokaje tena mle bustanini?? Jamani msimfanye Mola wetu chizi. Aliifunga ile bustani hadi leo hakuna aliyewahi ingia tena mle hivyo lile tunda la ujuzi wa mema na mabaya lipo mle ndani ya bustani chini ya ulinzi mathubuti.
Waza kingine mkuu, hutakaa ulione wala kulionja tena.
Sasa nakuuliza wewe mkuu qur ann ni kitabu kisichokua na shaka nawala hakikuacha jambo lolote sasa kwanini huo mti umeushindwa kuutaja hapo si kweli upo tu labda wewe huujui kama mimi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli walikula tunda la mti uliokatazwa..watu wanadhani kuwa tunda ni Adamu kumuingilia Hawa, hapana kwa sababu alipowaweka aliwaambia zaeni mkaijaze nchi..wangezaaje kama si kwa Adamu kufanya yake? Na hiyo bustani nadhani iko Ngorongoro huko..kwa sababu mbili..moja Dr Leakey aligundua fuvu la kichwa cha binadamu wa kwanza na kwa kutumia C14 walijua kaishi miaka milioni ngapi sijui iliyopita..hadi leo hakuna ushahidi mwingine wowote unaoonesha binadamu wa kwanza alieishi miaka mingi zaidi ya huyo wa Dr Leakey...na fuvu hili lilipatikana Olduvai ambayo iko Ngorongoro.. Pili tunaambiwa wanyama na binadamu walikuwa wanaishi pamoja..ni eneo gani duniani utakuta mtu anapita na simba anajipitia kwa raha zake bila hata kumdhuru zaidi ya Ngorongoro crater?
 
Sasa nakuuliza wewe mkuu qur ann ni kitabu kisichokua na shaka nawala hakikuacha jambo lolote sasa kwanini huo mti umeushindwa kuutaja hapo si kweli upo tu labda wewe huujui kama mimi

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu;
Mti huo unaitwa "Mti wa ujuzi wa mema na mabaya". Haupo tena leo duniani. Ungelikuwepo, wabongo wetu walivyo wabunifu si wangelikwisha umaliza na kuweka ulinzi wa nuklia kuulinda uwe wa kwao?? Usitafute zaidi mkuu, haupo hapa wala sio mti wa siri.
Wengine wanadhani ni papuchi ila sio kweli.
 
Back
Top Bottom