Yaani maswali kama haya anatakiwa apate mtu anayesomea komunyo ya kwanza, ila kwa kuweka rekodi sawa, sakrameti ni kama ubatizo, kitubio, ekaristi, kipaimara, daraja takatifu, mpako mtakatifu, ndoa, alama za kanisa ni 1, takatfu, katoliki, la mitume na misionari....daraja takatfu ni kuwekwa wakfu kwa ajili ya kazi ya Mungu, ushirika wa wataktifu ni uhusiano uliopo kat ya roho za watu waliopo mbinguni, toharani na duniani, nadhani nimekujibuKwanza inavyoelekea huna sakrament hata moja!
Kama unabisha jibu maswali yafuatayo!
1. Nitajie sakrament saba za kanisa katoliki
2. Daraja takatifu ni nini?
3. Taja alama za kanisa katoliki
4. Nini tofauti kati ya dhambi na dhamiri
5. Ushirika Wa watakatifu ni ushirika gan?
Ukinijibu maswali hayo! Ni PM namba yako kesho ukaanze malezi, ukishindwa nenda kanisani ukatubu uanze mafundisho ya ukatoliki.
Ni rahisi tu, ongea na viongozi wa jumuia yako, watakupa kila msaada ili ufike wito wako. Ila jiandae kukaa mwaka mmoja wa majaribio kisha miaka minne kusoma filosofia, alafu miaka mitatu kusoma teolojia.Naomba kupata mawasiliano ya mashirika mbalimbali ya mapadre ambayo naweza kujiunga nayo,
Kiwango cha elimu nina degree moja na umri nina miaka 24. Natamani kumtumikia Mungu katika utume huo.
Kwa sasa nipo dar es salaam
Bora umzingue maana kwa kukatisha tamaa yupo poaHaaaaa haaaaa uwiii
Baada ya ku google sioYaani maswali kama haya anatakiwa apate mtu anayesomea komunyo ya kwanza, ila kwa kuweka rekodi sawa, sakrameti ni kama ubatizo, kitubio, ekaristi, kipaimara, daraja takatifu, mpako mtakatifu, ndoa, alama za kanisa ni 1, takatfu, katoliki, la mitume na misionari....daraja takatfu ni kuwekwa wakfu kwa ajili ya kazi ya Mungu, ushirika wa wataktifu ni uhusiano uliopo kat ya roho za watu waliopo mbinguni, toharani na duniani, nadhani nimekujibu
Ngoja niwatafute viongozi wa jumuiya yangu, wanaipe maelekezoNi rahisi tu, ongea na viongozi wa jumuia yako, watakupa kila msaada ili ufike wito wako. Ila jiandae kukaa mwaka mmoja wa majaribio kisha miaka minne kusoma filosofia, alafu miaka mitatu kusoma teolojia.
Ukimaliza hapo utaongeza mwaka mmoja wa ushemasi.
Kama unataka kiwa padre na hujui mashirika ya kimisionari mpaka sasa....usijihangaishe.Naomba kupata mawasiliano ya mashirika mbalimbali ya mapadre ambayo naweza kujiunga nayo,
Kiwango cha elimu nina degree moja na umri nina miaka 24. Natamani kumtumikia Mungu katika utume huo.
Kwa sasa nipo dar es salaam
Acha matusi mkuu, huu uzi wa kiparokoKijana anataka kujilia kondoo kiulaiini.
Mchando ndo nani huyo??Chek na Mchado ebu akupe ABCz
Awatafute Consolata fathers au Fransiscan...makapuchini.Mie nakushauri kabla hujafikia hatua hiyo ya kuulizia vyuo vya upadre, kwanza fanya uwe regular kwenda kanisani, halafu jenga uhusiano wa karibu na padre wa kanisa lako, fanya kazi ja kujitolea kwenye kanisa lako halafu ndio uanze kuonyesha interest na kumwambia padre wako juu ya interest yako.
Usitafute upadre kama kutafuta ajira nyingine baada ya kumaliza degree.
Hayo maswali huwezi ukayakuta Google kirahisi mkuuKasema ana "Google" majibu wacha tumsubili arudi
Wanapatikana wapi mkuu??Awatafute Consolata fathers au Fransiscan...makapuchini.
Padre McharoMchando ndo nani huyo??
Ngoja nikamsikilize my paroko labda atanipa majibu sahihiItakuwa ngumu sana, umri umeenda mno! Hapo utaenda ukashauriwe uwe Buruda "Brother". Wale ambao hawajapitia seminari mara nyingi wanachukuliwa wanapomaliza form IV au Form VI. Na hapo unawakuta wako kwenye age ya 20-22. Kwako mkuu itakuwa ngumu sana! Jaribu kwa Paroko ukasikie atakupa majibu gani!!
ili uwe padri lazima utahiriwe mara ya pili halafu ukatwe korodani moja cha mwisho wakupime tezi dume kila baada ya wiki. [emoji23] [emoji1] [emoji119]Naomba kupata mawasiliano ya mashirika mbalimbali ya mapadre ambayo naweza kujiunga nayo,
Kiwango cha elimu nina degree moja na umri nina miaka 24. Natamani kumtumikia Mungu katika utume huo.
Kwa sasa nipo dar es salaam
Wanakuwa wanakudukuwa sana eee, sio mbaya mkuu ili mradi umeamua kujitoa kwa ajili ya hiloKijana.classmates wangu wa4 ni mapadre,so i know wat am sayn.hao mafukara ni mapadre wakwel wa zaman,skuhiz wanaish normal life tena zur kuliko la kitaa ,ushawai ona padri mchaf au kakonda au padre hana usafir,au analala sehem chaf,waumin watafanya lolote ilimrad padre aish maisha saf,...hahah.
Mkuu ila kama kwel unawito jongea tuu mezan mwa bwana,ila utapigwa screaning ya kufa mtu maana wew sio mseminarist..mi nilikua mseminarist ,ila ndo hvi nika asi..sabab nilipenda sana mbunye