Nahitaji kuinstall TWRP kwenye Tecno yangu

Nchi Kavu

JF-Expert Member
Sep 11, 2010
4,271
2,401
Ukweli ni kwamba Tecno japo ni simu ya wengi, ni simu ambayo bado haijaingia kwenye international standards kiasi ukitaka kufanya mabadiliko ya hapa na pale inakuwa ngumu kutiririka kama ilivyo kwa devices nyingine. Nahitaji kufanya rooting ya tecno camon cx yangu ila kona kona ni nyingi sana.

Naombeni clear procedures za kufanya rooting

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nahitaji kuweka kwanza hii kitu ndio procedures zingine ziendelee
526d65e3f34cb48a323576a6f68642be.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli ni kwamba Tecno japo ni simu ya wengi, ni simu ambayo bado haijaingia kwenye international standards kiasi ukitaka kufanya mabadiliko ya hapa na pale inakuwa ngumu kutiririka kama ilivyo kwa devices nyingine. Nahitaji kufanya rooting ya tecno camon cx yangu ila kona kona ni nyingi sana.

Naombeni clear procedures za kufanya rooting

Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda google ubrowsi utafute .zip file ya twrp ya simu unayotaka alafu kuna appu yaitwa mobile uncle ndio utakayotumia kuflashi .zip hiyo katika simu yako ndiposa upate twrp kikamilifu.
 
Nenda google ubrowsi utafute .zip file ya twrp ya simu unayotaka alafu kuna appu yaitwa mobile uncle ndio utakayotumia kuflashi .zip hiyo katika simu yako ndiposa upate twrp kikamilifu.
Nashukuru mkuu, nitajaribu kufuatilia
 
Hii procedure ya kutumia magisk niliifuata ila niliwama kwenye kupata model number ya tecno yangu kiasi haikuweza kusoma kwenye cmd. Ndio maana nikaingia kwenye twrp ila nako nikapata tabu
Kutumia twrp method kwa simu za kawaida kama tecno utahangaika sana kupata twrp yake,na hata ukiipata chances ni kubwa haitakua inafunction kama build number yako sio toleo la kwanza,so kwa twrp either uport mwenyewe kitu ambacho kama hujui unachokifanya unaweza softbrick simu yako.
Pitia hapo kuna maelezo yote ya kuroot kwa njia ya magisk japo ni complicated lakini ni njia nzuri kwa simu zisizo na twrp brand za dunia ya tatu kama tecno,infinix,itel n.k
Root simu ya android yoyote ukitumia magisk - JamiiForums
Nb- iyo njia inaroot android yoyote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pamoja mkuu
Sikushauri uinstall twrp kama hujui jinsi jinsi ya kuitoa simu yako kwenye boot loop ama soft brick sababu tecno ni simu ambayo haijulikana hivyo developers wengi hawajakaa chini kuport twrp na kufix bugs nenda official twrp website ujionee ,hata kama ukiport mwenyewe kama hujui kufix bugs utapata tabu,au hata ukidownload mtandaoni chances ni kubwa ikawa na tatizo
Tumia magisk nadhani ndio simplest and reliable method available
Maelezo yake ni rahisi sana usicomplicate mambo hatua kuu tatu
1.Unlock bootloader
2 Patch boot img kwa kutumia magisk manager
3 Flash patched boot img kwa kutumia adb
Unamalizia kwa kuinstall magisk manager app
Tayari unakua umeroot

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom