Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,786
- 35,761
Ulikua unaandika au ulikua unapiga saini?jf ya xx sijui haw wat wanatok vijj gn maswal ya kipuuz tup 4m 6 huwez hat kuchanganua mambo
Ulikua unaandika au ulikua unapiga saini?jf ya xx sijui haw wat wanatok vijj gn maswal ya kipuuz tup 4m 6 huwez hat kuchanganua mambo
Hahahahahahaha dad hauko nyumaTeacher ALLEN yuko vizuri katika somo la ECONOMICS aisee katusaidia sana.
Nicheki 0656792939Hii kitu tamu sana,me nimeisoma hapo udsm ila walimu wa hapo ni hatari sana.yani walimu wa udsm ukiwa mzembe wanakupoteza mapema.
yani mimi nikucheck?Nicheki 0656792939
Okay, hivi ningeomba namba yako hapo mkuu ungenipa?!! Japo sikuwa na maana mbaya ya kukushushayani mimi nikucheck?
uko serious kweli?
PCM anawezasoma??Moja kati ya kozi bora kabisaa udsm BA economics.
Unaweza kufanya kazi kwenye taasisi za fedha mfano benk, TRA,
Unaweza kufanya kazi kwenye kampuni mbalimbali za kibiashara
Unaweza kujiajiri
Unaweza kuwa mwalimu Wa economics
Kwa kweli hii fani ina sehem nyingi saana na kufanya kazi kwa vile haina deep specialisation ..
Cha msingi kama unasoma economics dogo ukaze msuli GPA isome vizuri pia weewe mwenyewe uwe compitent ....
Jiandae kukutana na walimu wanaobana marks balaa pale udsm kama Dr osorro, Dr mkenda, Mr mkai, Loikina, na wengine wengi wanaofanya maisha ya hii course kuwa ngumu.
Ukiwa unasoma anza kufanya connections mapema za kazi LA sivyo njoo tuungane kuzungusha majembe(bahasha) mtaani
Good luck