PATIENCE PB
Senior Member
- Apr 3, 2014
- 163
- 37
- Thread starter
- #21
Eeh unamfahamu huyo teacher ......kiboko huyo anajua mpaka basi. 0769668747 nicheck whatsappKwa udhamin wa ALLEN NJAU
Eeh unamfahamu huyo teacher ......kiboko huyo anajua mpaka basi. 0769668747 nicheck whatsappKwa udhamin wa ALLEN NJAU
Jaribu itategemea na competition ya ulioapply nao ,but kwa udsm ni programme nzuri kuisomaDaa mkuu Leo nimefatilia wamenambia wanataka C ya math ya olevel na mm Nina D ila advance Bam Nina E na Eco B Hist C na Geo C sasa sijuh ni apply ivo ivo mkuu naomba ushaur
Ipo Ardhi pia........MZUMBE IPO katika nyanja tatu ila inaitwa B.Sc. in EconKwan iyo BA ya economics inapatikana UDSM tu???? Na ningumu kias gan au nyepesi kiasi gan
Asante kiongozi kwa ushaur wako ntafanya ivoJaribu itategemea na competition ya ulioapply nao ,but kwa udsm ni programme nzuri kuisoma
Hivi hiyo coz kwa first year topic zake si zile zile za advance level au kuna kitu kipya?Hii kitu tamu sana,me nimeisoma hapo udsm ila walimu wa hapo ni hatari sana.yani walimu wa udsm ukiwa mzembe wanakupoteza mapema.
Kazi gani unaweza fanya ukihitimu hii course mkuuBa econ, niliipenda sana
Otieno pia..Bila kumsahau dr karamagi.
We mbna unaandika kipuuzijf ya xx sijui haw wat wanatok vijj gn maswal ya kipuuz tup 4m 6 huwez hat kuchanganua mambo
mpuuzi ni ww unayeshndw kusomaWe mbna unaandika kipuuzi
hizo xx zipo kwenye kiswahili hebu acha habari za kufuata mkumbompuuzi ni ww unayeshndw kusoma
Watu bhana , sasa wewe ndo ujuh kuchanganua hayo mambojf ya xx sijui haw wat wanatok vijj gn maswal ya kipuuz tup 4m 6 huwez hat kuchanganua mambo
If I were you, ningesoma ualimuDaa mkuu Leo nimefatilia wamenambia wanataka C ya math ya olevel na mm Nina D ila advance Bam Nina E na Eco B Hist C na Geo C sasa sijuh ni apply ivo ivo mkuu naomba ushaur
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwa udhamin wa ALLEN NJAU
Teacher ALLEN yuko vizuri katika somo la ECONOMICS aisee katusaidia sana.Eeh unamfahamu huyo teacher ......kiboko huyo anajua mpaka basi. 0769668747 nicheck whatsapp