Nahitaji kufahamu namna ya kuweka link

Raia Fulani

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
10,876
2,744
huwa napenda kuweka links ila inakuwa tatizo kwangu. inategemea na kompyuta au ni ujuzi tu unatakiwa? kwa mfano unaambiwa bonyeza hapa inakupeleka kwenye site nyingine. ningependa kujua hivyo
 
Na mimi pia mkubwa hope wajuzi watakuja na kutuambia hapa!!
 
Wakuu tunaomba mtufundisha maujanja.
 
una sh ngapi?...
 
wenye noleji wanabana
Kingi,
Hata mimi nilikuwa sijui kabisa kuweka link lakini katika kuchezeachezea nikafanikiwa.

Hatua: 1.
Copy link address yoyote unayotaka kulink

Hatua 2:
Highlight neno au maneno ambayo unataka yawe na hiyo link address

Hatua 3:
Click Insert link address kisha paste sehemu inayooneshwa katika dialogue hiyo halafu click OK

Nadhani nitakuwa nimekusaidia,
 
huwa napenda kuweka links ila inakuwa tatizo kwangu. inategemea na kompyuta au ni ujuzi tu unatakiwa? kwa mfano unaambiwa bonyeza hapa inakupeleka kwenye site nyingine. ningependa kujua hivyo

Na mimi pia mkubwa hope wajuzi watakuja na kutuambia hapa!!

Wakuu tunaomba mtufundisha maujanja.

Mimi pia ningependa kufahamu jinsi ya kuweka video kutoka youtube,kuiweka JF.

wenye noleji wanabana

Kwa ambaye hajaelewa maelezo hayo hapo juu anaweza kudownload document yangu ambayo nimeiambatanisha hapa chini, ambayo ina screen shots kwa ajili ya uelewa zaidi.
Hope itawasaidia wengi sana
 
Attachments

  • Namna ya Kuweka link katika threads na Posts.doc
    513.5 KB · Views: 150
Kwa ambaye hajaelewa maelezo hayo hapo juu anaweza kudownload document yangu ambayo nimeiambatanisha hapa chini, ambayo ina screen shots kwa ajili ya uelewa zaidi.
Hope itawasaidia wengi sana

mkuu nashukuru kwa maelezo yako. kuna mdau pia keshanielekeza. ni huyu. ushow us how to put that multiple quotation and life is gonna be easy
 
Ukitaka kuweka multiple quote ya kawaida huwa unabonyeza sehemu ya "Quotes". Sasa ukitaka kuweka multiple quotes unabonyeza sehemu ya "Mult-on", chini ya kila post ambayo unataka uijibie. Kwa hiyo basi, kwa kila post unayotaka kujibia unabonyeza hapo kwenye mullti-on. Ukishamaliza kuzichagua unabonyeza sehemu ya "Post reply" na hizo 'multiquotes' zote zitaonekana na utaanza kuzijibia.
Nadhani nimeeleweka.
 
Kwa ambaye hajaelewa maelezo hayo hapo juu anaweza kudownload document yangu ambayo nimeiambatanisha hapa chini, ambayo ina screen shots kwa ajili ya uelewa zaidi.
Hope itawasaidia wengi sana
ila sio lazima iwe katika bold....anyway..nice job...
 
Ukitaka kuweka multiple quote ya kawaida huwa unabonyeza sehemu ya "Quotes". Sasa ukitaka kuweka multiple quotes unabonyeza sehemu ya "Mult-on", chini ya kila post ambayo unataka uijibie. Kwa hiyo basi, kwa kila post unayotaka kujibia unabonyeza hapo kwenye mullti-on. Ukishamaliza kuzichagua unabonyeza sehemu ya "Post reply" na hizo 'multiquotes' zote zitaonekana na utaanza kuzijibia.
Nadhani nimeeleweka.

mkuu nashukuru kwa maelezo yako murua. Yamesaidia wengi. Nitayafanyia kazi nikiwa kwenye desktop
 
Back
Top Bottom