Nahitaji kuchimbiwa kisima

Nahitaji kuchimbiwa kisima

Mimi nimechimba kisima Dodoma.. Nimezunguka makampuni mengi ofa ya chini kabisa niliyopata kuchimba na kuinstall PVC screen na plain casing ni 160,000 kwa mita.. na dodoma sehemu nyingi ni lazima ufike at least mita 100.. Na usijidanganye ukaja dodoma na mad rota( machine zinazochimba mwamba laini kama Dar na sehemu nyingi za pwani).. na usidanganywe uweke casing ya chini ya inch 6..
Binafsi kuchimba kutengneza water tower kuinstal matanks na pump pamoja na jenereta imefika 26M na hapo sijaweka miundo mbinu ya umwagiliaji.. NI PM kama unataka maelekezo zaidi
Mkuu wewe ni driller bhana maana umeongea kitaalam sana coz mimi ni mtaalam wa mambo hizo na Dom nimechimba visima vingi kwa kampuni ya serikali wakala wa visima na mabwawa kifupi Dom nimeivuruga
 
Mimi nimechimba hombolo meta 130 nimelipia 12m kuchimba na mabomba tu
Mkuu wewe ni driller bhana maana umeongea kitaalam sana coz mimi ni mtaalam wa mambo hizo na Dom nimechimba visima vingi kwa kampuni ya serikali wakala wa visima na mabwawa kifupi Dom nimeivuruga
Mimi nimechimba hombolo meta 130 jumla nimelipia 12m kuchimba na kuweka mabomba tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom