Nahitaji kuchimbiwa kisima

Nahitaji kuchimbiwa kisima

ehee kumbe

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2013
Posts
267
Reaction score
155
Wana jf wenzangu ninataka kuchimbiwa kisima katika shamba langu liko Dodoma ili nitumie kwa umwagiliaji.naomba wanaofanya uchimbaji wa visima jitokezeni mnijuze gharama zenu ili nione yupi atafaa.pia kama kuna mwana jf mwenzangu anae fahamu mchimba visima anaweza akaniunganisa nae tuongee.mawasiliano yangu 0753287306
 
Gharama za kuchimba visima Dodoma zipo Juu sana bei ya chini kabisa unayoweza pata ni 120000 mimi nataka kuchimba huko huko Dom mwezi wa Tisa au wa Kumi na kuna jamaa nimempata anaweza kunichimbia kwa 90000 kwa mita kama utakuwa tayari mida hiyo tunaweza kuunganisha ikawa safari moja inaweza saidia kupunguza gharama
 
mkuu huyo ni hawa mafundi wetu wa mitaani au? kifupi napenda kujua anatumia vifaa gani kuchimba? manual au ana mashine maalum?
 
Mkuu ardhi ya Dodoma ni ngumu sana huwezi kuchimba kwa mikono mita 80 hadi 100 ana gari la kuchimbia aina ya vifaa alivyonavyosivifahamu kwa undani ila najua anaweza kuchimba kisima kirefu ka gari na ameshachimba vingi tu hapo Dodoma japokuwa shughuli zake nyingi ni Dar
 
samani na mimi niulize hapo,kunamalipo yoyote kwa serikali kama kodi au vinginevyo kwa mliki wa kisima?je,mchimbiwa kisima ni lazima apate kibali serikalini?kwa visima vingi vilivyo chimbwa dodoma huwa na maji yenye chumvi nyingi je,maji hayo yanaweza kufaa kumwagili mimea?
 
Mkuu huko shamba nani atakudai kodi/ushuru wa kisima? Sijawahi ona hiyo kitu.Hayo maji hayawezi kuwa na chumvi kama ya baharini ni chumvi ya kawaida ambayo haina madhara sana kwa mimea
 
Gharama za kuchimba visima Dodoma zipo Juu sana bei ya chini kabisa unayoweza pata ni 120000 mimi nataka kuchimba huko huko Dom mwezi wa Tisa au wa Kumi na kuna jamaa nimempata anaweza kunichimbia kwa 90000 kwa mita kama utakuwa tayari mida hiyo tunaweza kuunganisha ikawa safari moja inaweza saidia kupunguza gharama

asante ndugu kwa msaada nitakutafuta ili tuungane
 
ina maana mita moja ni 90000 mara 80 = 90000 * 80 = 7200000, du. milioni saba na laki mbili kisima tu, na kama ikiwa mita100 maana yake milioni 9 kisima tu? bado pampu ya kupandisha maji na mafuta ya hiyo pumpu na mpira wa kumwagilia.du bado kununua hilo shamba la heka kumi, bado kulima hilo shamba kwa trecta? embu nijuzeni kidogo.

kwa kamshahara kangu hata nikifanya kazi miaka 20 alafu nichukue pension yote kupeleka shambani mbona bado inaweza isitoshe.
 
kisima gharama ndg yangu, mi mwenyewe nimechoka kabisa nilivyokokotoa hizo gharama!
 
Mimi nimechimba kisima Dodoma.. Nimezunguka makampuni mengi ofa ya chini kabisa niliyopata kuchimba na kuinstall PVC screen na plain casing ni 160,000 kwa mita.. na dodoma sehemu nyingi ni lazima ufike at least mita 100.. Na usijidanganye ukaja dodoma na mad rota( machine zinazochimba mwamba laini kama Dar na sehemu nyingi za pwani).. na usidanganywe uweke casing ya chini ya inch 6..
Binafsi kuchimba kutengneza water tower kuinstal matanks na pump pamoja na jenereta imefika 26M na hapo sijaweka miundo mbinu ya umwagiliaji.. NI PM kama unataka maelekezo zaidi
 
Mkuu upo sahihi kabisa wala hujakosea hizo ndo gharama halisi naomba kujua casing ni nini! au ndo yale mabomba ya kupandishia maji?
 
ina maana mita moja ni 90000 mara 80 = 90000 * 80 = 7200000, du. milioni saba na laki mbili kisima tu, na kama ikiwa mita100 maana yake milioni 9 kisima tu? bado pampu ya kupandisha maji na mafuta ya hiyo pumpu na mpira wa kumwagilia.du bado kununua hilo shamba la heka kumi, bado kulima hilo shamba kwa trecta? embu nijuzeni kidogo.

kwa kamshahara kangu hata nikifanya kazi miaka 20 alafu nichukue pension yote kupeleka shambani mbona bado inaweza isitoshe.

Mkuu na hiyo 90 ni bei ndogo sana kwa Dodoma
 
Mkuu huko shamba nani atakudai kodi/ushuru wa kisima? Sijawahi ona hiyo kitu.Hayo maji hayawezi kuwa na chumvi kama ya baharini ni chumvi ya kawaida ambayo haina madhara sana kwa mimea

kumbe nyie mnaibia serikali enh!!
yaani mna drill underground water kwa ajili yenu wakati ni resource reserved kwaajili ya watu wote halafu hamtulipi kodi??
Hivi mnajua sheria ya maji inasemaje?? maji ni resource ambayo inamilikiwa na head of state kwamaani hiyo hata kudrill tu lazima uombe kibali kwake..................

Usiogope bwana watu wanaivunja hii sheria ila kama kwenu kuna watu wanoko hasa madiwani na wenyekiti wa vijiji basi watawakuletea kasheshe.

Ushauri wangu hakikisha anyekuja kudrill asije akawa amedrill kwenye acquifer akakwambia tayari nimehsapata maji. lazima uhakikishe anatoboa underground water. wengi wanalizwa kwa staili hii manake acquifer inaweka maji lkin maji haya huisha baada ya muda let say 10yrs ama 5 hivyo lazima hii elimu uwe nayo.
 
Hii itakuwa observation borehole afu wanaigeuza kwa kuiwekea pamp inaanza kuzalisha maji....watu wamelia sana aisee
 
kumbe nyie mnaibia serikali enh!!
yaani mna drill underground water kwa ajili yenu wakati ni resource reserved kwaajili ya watu wote halafu hamtulipi kodi??
Hivi mnajua sheria ya maji inasemaje?? maji ni resource ambayo inamilikiwa na head of state kwamaani hiyo hata kudrill tu lazima uombe kibali kwake..................

Usiogope bwana watu wanaivunja hii sheria ila kama kwenu kuna watu wanoko hasa madiwani na wenyekiti wa vijiji basi watawakuletea kasheshe.

Ushauri wangu hakikisha anyekuja kudrill asije akawa amedrill kwenye acquifer akakwambia tayari nimehsapata maji. lazima uhakikishe anatoboa underground water. wengi wanalizwa kwa staili hii manake acquifer inaweka maji lkin maji haya huisha baada ya muda let say 10yrs ama 5 hivyo lazima hii elimu uwe nayo.
Tunaomba muongozi mkuu. Tofauti ya aquifer na underground water ni nini-maana umenichanganya na kunifungua akili kwa wakati mmoja. Kwa mfano nitajuaje haya ni maji toka aquifer au underground wakati yote yanatoka chini (underground)???
 
images

An aquifer is an underground layer of water-bearing permeable rock or unconsolidated materials (gravel, sand or silt) from which groundwater can be extracted using a water well.

an aquifer can last for decades if the natural process of refiliing it is fast. but if is slow then this water does replenish after few year. the reasons is that an aquifer is created within permeable rock(porous) therefore it holds water but also discharges it to add into the ground water.

hizi aquifer ziko confined and uncofined and btn kuna aquiclude sasa nashindwa kukuelezea vizuri as muda sina but you can jst go and google
 
ina maana mita moja ni 90000 mara 80 = 90000 * 80 = 7200000, du. milioni saba na laki mbili kisima tu, na kama ikiwa mita100 maana yake milioni 9 kisima tu? bado pampu ya kupandisha maji na mafuta ya hiyo pumpu na mpira wa kumwagilia.du bado kununua hilo shamba la heka kumi, bado kulima hilo shamba kwa trecta? embu nijuzeni kidogo.

kwa kamshahara kangu hata nikifanya kazi miaka 20 alafu nichukue pension yote kupeleka shambani mbona bado inaweza isitoshe.
Basi endelea na kilimo cha kizamani cha kupatachupa moja ya mpunga,kilimo kinahitaji hela nyingi kama kweli umeamua kuwa mkulima na umeamua kilimo kikutoe,jamaa anaangalia kupata faida baada ya muda flani ndio maana ya kuwekeza,tatizo waTz tunapenda njia mkato na urahisi rahisi
 
mkuu upo sahihi kabisa wala hujakosea hizo ndo gharama halisi naomba kujua casing ni nini! Au ndo yale mabomba ya kupandishia maji?

casing ni yale mambomba yanayowekwa ku protect kisima na kuzuia maji machafu kuingia ndani ya kisima
 
Muongozo hapa,ukishachimba kisima.unategemea kupata ltr ngapi kwa saa 1? Hata mimi pia nina plan hiyo yakisima
 
Mimi nimechimba kisima Dodoma.. Nimezunguka makampuni mengi ofa ya chini kabisa niliyopata kuchimba na kuinstall PVC screen na plain casing ni 160,000 kwa mita.. na dodoma sehemu nyingi ni lazima ufike at least mita 100.. Na usijidanganye ukaja dodoma na mad rota( machine zinazochimba mwamba laini kama Dar na sehemu nyingi za pwani).. na usidanganywe uweke casing ya chini ya inch 6..
Binafsi kuchimba kutengneza water tower kuinstal matanks na pump pamoja na jenereta imefika 26M na hapo sijaweka miundo mbinu ya umwagiliaji.. NI PM kama unataka maelekezo zaidi
Nakuwekea PM mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom