nimeenda leo mkuu,nikafanya hivo,cha kushangaza nilipoiweka kwenye printer yangu hali ikawa vilevileIrudhishe kwenye printer ilipokuwa ufungue prog ya printer kwenye pc nenda setting kwenye catredge unlock ili iweze kutumika kwenye printer zingingine, huwa zinalokiwa ukitaka
Unauza elf 36 kwa moja bossbado huja
sema upo wapi mkuu, bei ya dukani ni 25,000 kwa moja eeh??
Ni pm namba zakoUnauza elf 36 kwa moja boss