Nahitaji kuanza kutumia pombe

Achana na pombe mkuu..

mara ya kwanza mie nilikutana tu na jamaa yangu anaenda geto kwake, tuliosoma nae primary na secondary. Kufika kule jamaa akaanza kufungua chupa nikaona sio kesi ngoja nichambe Koo.. nimekuja vitu ikafika time nikaanza kuona wenge ikabidi niage huyoooo hadi home kwanza kabla ya kwenda Getto. Kufika home nawakuta wote pale, kwakuwa ni mtu wa masihara nikafika na vijistori vya ajabu ajabu halafu najiamini kabisa Ilhali nikiwa sober huwa sijiachii vile mbele ya wazazi. Ni full kuchekacheka tu, Kila wakileta mjadala naunga nao halafu najaza vijimasihara hata kama ni suala serious. Nikaona kama pamenichosha tena nikapandisha Getto tu kulala.. Nahisi walijua nimeboost, since then hapana aisee
 
Lakini pia uchumi wangu sio mzuri,naomba pombe hiyo iwe 'cheap in terms of cost' let say iwe less than 5000 per bottle

Naomba jina la pombe ambayo ina-meet above conditions
Smirnoff black ice.
Desperados
Savanna
Heinkein

Bia za Tz ni less of 3000. Ila machungu balaa.. heri ka flying fish, ila kanasukari
 
Umempigia umombo wa state πŸ€“πŸ€£
 
We kweli kipusa, mwanaume mwenzako unasemaje ni handsome???

Sielewi Yani unamuangalia kidume mwenzako unaona kabisa anafaa???
Handsome anajulikana bob.
Kwa macho ya kiumeni na kikeni yatamtambua.
Sio ajabu.
 
Nakunywa sweet red wine robo glass baada ya dinner tena sio kila siku. Hii ni nzuri kwa tumbo na longevity. Tafuta namna ya kuondokana na stress zako ikiwa ni pamoja na kutatua matatizo yako na kufanya shughuli halali zenye kuku keep busy. Ulevi ni kitu mbaya sana!
 
Anza na soft wine, au lite yoyote.

Msijifanye kumshauri asianze. Hajauliza icho.
 
Karibu kwenye ulimwengu maridhawa kijana, hutajutia!!
 
Mie sio mlevi πŸ™†β€β™€οΈ unanipa shida kuchanganua
Zipo shoppers plazer zinakua tamu tamu kama spirite Zina alcohol 4.5
Zina alcohol 4.5 Anza kunywa mbili sawa....
Za kujifunzia sawa
 
Mimi huwa nakunywa sana na nina uzoefu wa kutosha kuanzia ulanzi, komoni, wanzuki, banana, gongo, mbege, k vant, konyagi, smart gin, burudani inayonuka ka mkojo, kiroba orijino, zanzi, valuer, bongo don, bia local zote. Yaani nakunywa toka nazaliwa ingawa utotoni nilikuwa nakunywa ulanzi wa asubuhi tu.

Pamoja na ukongwe huu, simshauri mtu ajifunze kugusa pombe.
Mimi kuna muda huwa napumzika miezi 3 hadi 4 kitu ambacho wengi huwa hawawezi.
Mfano toka tar 01 aprili sijagusa pombe, na natarajia kukilipua tar 01 julai. Hiyo siku nisipokunywa basi ngoma desemba hiyo.

Kuacha pombe naweza ila namwachia nani! Kazi yenyewe nilipatia kwenye mazingira ya pombe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…