Nahitaji kiwanja cha makazi

Nahitaji kiwanja cha makazi

Malyenge

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
6,658
Reaction score
3,664
Wakuu habari za leo.
Nahitaji kiwanja chenye hati na kinachomilikiwa kihalali.
Maeneo yawe ni Mbezi Beach au Africana au Goba.
Anayeuza tafadhali anitajie bei kabisa PM ili kurahisisha maamuzi ya ununuzi. Ukinitajia bei unanirahisishia kuja kukiona maana hiyo bei tayari inakuwa nimeshajua kama naimudu ama la. Lakini kwa kitendo cha kujua bei na mimi kuja kukiona inakuwa tayari ni ishara ya kwamba bei naimudu.
Asanteni sana....
 
Back
Top Bottom