Nahitaji kitambi, nile nini?

Nahitaji kitambi, nile nini?

Kifurukutu

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2013
Posts
4,666
Reaction score
6,742
Nimekuwa nahitaji niwe na kitambi kwa muda mrefu sana kwa kujibweteka tu sifanyi zoezi huku nikipendelea kula vyakula vya mafuta kama nyama, hasa ya kitimoto

Lakini bado sijaona manadiliko yoyote zaid ya kuwa kimbaumbau aliyenawili na ngozi iliyong'aaaaa

Nile nini niwe na kitambi wakuu

Maana kitambi kinaonesha wazi kwamba mwenye nacho sio wa kawaida ni mwenye pesa

Na mimi ninazo but sina muonekano huo

Ushauri please!
 
IMG-20170215-WA0000.jpg


IMG-20170224-WA0000.jpg
 
Duh! M'Tanzania mwenzangu huyu.anataka kitambi,ok unatka kitambi gani? M'binuko M'bonyeo au M'chuchumio?maana kuna vingine vitambi havihitaji kula.vinahitaji kunywa mapombe kushiba yale ya vilabuni unakipata.sa hujasema unataka kitambi gani
 
Haina haja. Ya katufuta dawa!!! We kula na kulala hapo hapo..

Ndan ya miez mitatu tu.. Kitambi hicho..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom