Nahitaji kitambi, nile nini?

Nahitaji kitambi, nile nini?

maisha bana. Wengine wanahangaika kuondla vitambi wengine wanavitaka. Dooooh sio wote wenye vitambi wanazo, wengine utapiamlo
Kweli mkuu ila mimi nahitaji cha kurizika na maisha
[HASHTAG]#Pesa[/HASHTAG]
 
Duh! M'Tanzania mwenzangu huyu.anataka kitambi,ok unatka kitambi gani? M'binuko M'bonyeo au M'chuchumio?maana kuna vingine vitambi havihitaji kula.vinahitaji kunywa mapombe kushiba yale ya vilabuni unakipata.sa hujasema unataka kitambi gani
Zaidi sihtaji kile kinachoanzia kifuani! Kishuke chink kidogo kama mtung hiv hapo sawa
 
Daa kumbe tumefotiana eee...ok mm naomba dawa ya kutoa huo ugonjwa
 
f66a27871e02ae8d0dbdd66bdad70be2.jpg
 
Mkuu utakuwa mbegu mbaya wewe,, kama unakula vyote hivyo hunoni hapo hakuna namna utafanya maana inawezekana una magonjwa mtambuka wewe hujijui! Anzia kwanza hospital ucheki afya mkuu!
 
Acha wazo hilo kitambi ni mateso badili mwelekeo
 
Nimekuwa nahitaji niwe na kitambi kwa muda mrefu sana kwa kujibweteka tu sifanyi zoezi huku nikipendelea kula vyakula vya mafuta kama nyama, hasa ya kitimoto


Lakini bado sijaona manadiliko yoyote zaid ya kuwa kimbaumbau aliyenawili na ngozi iliyong'aaaaa

Nile nini niwe na kitambi wakuu
Maana kitambi kinaonesha wazi kwamba mwenye nacho sio wa kawaida ni mwenye pesa
Na mimi ninazo but sina muonekano huo
Ushauri please!
Carbohydrate na Starch kwa Sanaa. Kitambi faster

Mafuta na nyama havikuletei vitambi Bali vinakuondolea kitambi japo conventional wisdom imetuambia hivyo miaka Mingi lakini ukweli ni kinyume kabisa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom