Nahitaji kitambi, nile nini?

Nahitaji kitambi, nile nini?

Hongera mkuu kwa kutaka kitambi ila ukishakipata usirudi hapa kuomba jinsi ya kukiondoa.
1.Kula wanga kwa sana yaani kitimoto kuwa na ugali pembeni.
2.Achana na stress ndogo ndogo mfano.. kama mkeo ana gubu mpuuze kabsaaa
3.Pendelea kuchelewa kula chakula cha usiku kula baada ya saa mbili na nusu na hakikisha ukishakula huchukui mda mref unalala.
Kitambi na wanga ni marafiki so katika mlo wako usikose ugali au ndizi au viazi yaani chips.Hapo beer sio lazima.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom