uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 19,703
- 37,945
Mtaa wa Aggrey ndio upi pale Kariakoo?
Watakuwekea mavioo ya kichina yanakuwa kama yana ukungu au cloudy, rudi uliponunua kwa ushauri na sio JamiiForums
Mtaa wa Aggrey ndio upi pale Kariakoo?
Duuh kumbe TCL hawatengenezi tv za inch24!Inch 24 hakuna mkuu, jipige ununue standard size kwa sasa 32" utaipata kwa 400K ile ya kawaida. Smart inaanzia 450K ila ni TV za uhakika! Haitakusumbua.
Hapana, hizo tafuta kwa brand za uchinani, aborder,soy, pinetech and company!Duuh kumbe TCL hawatengenezi tv za inch24!
Nichek kwa sim yanguSh ngap boss unauza tufanye biashara