Nahitaji kazi yeyote kama kibarua

Nahitaji kazi yeyote kama kibarua

ISIMAN MKUU
una uhakika upo sawa psychologically? kwanza mzungu akakukataa... pili uombe elfu tano(sijui)... tatu unatafuta kibarua. ni exactly haupo sawa.

mode yako ya sasa na title yako ni 'almost a failed man'. jitahidi urekebishe title hiyo.

ingia kwenye ghost mode, achana na mapenzi kwanza. Natafuta Ajira
 
una uhakika upo sawa psychologically? kwanza mzungu akakukataa... pili uombe elfu tano(sijui)... tatu unatafuta kibarua. ni exactly haupo sawa.

mode yako ya sasa na title yako ni 'almost a failed man'. jitahidi urekebishe title hiyo.

ingia kwenye ghost mode, achana na mapenzi kwanza. Natafuta Ajira
Mkuu kwahyo nisitafute kibarua kisa huyo mzungu
Wa barabaran?

Kama wew umefanikiwa tulia tu kula maisha mkuu haina haja ya kupaniki
 
Morogoro kuna uhaba wa kazi mwaka flani kulikuwa na viwanda hapo kuanzia polyster, mazava , kiwanda cha ngozi na kile cha mchele karibu na bucha la malisa tulienda hapo kusaka kazi tukijua ni za ubwelele kufika nashangaa kuna nyomi ya watu kama mkutano wa Lowasa na hao watu wote wanataka kazi na kazi hamna walinzi walishawachoka kuwafukuza na njaa ni kali

Hiyo kazi mpaka nnatoka huko sikupata.

Nikasuka mkakati wa kupata kazi kwenye shirika la masister maana walinzi hawaruhusu mtu aingie ndani. Nikaanza kusali jumuiya ya mtaani lengo nipate barua ya utambulisho kuwa natokea jumuiya fulani nikafanikiwa kwa masimango , hiyo barua nikaenda nayo kwa paroko nikamwambia paroko mimi natokea jumuiya fulani nmemaliza chuo nataka nitoe sadaka kwa mungu sadaka ya maarifa nilkyoyasomea kwa kujitolea kupiga kazi kwa masister wa shirika fulani taasisi ya kitaaluma siitaji. Lengo ni kukutana HR nijipenheze hapo kisha wanisjiri

Paroko akaniandikia barua kuwa ananitambua na na ninatoa sadaka ya nguvu kazi hivyo basi nipokelewe maana mungu kanituma hapo.

Nikafanikowa kuonana na sister mkuu 😄 sikuwahi kujua kama hawa masister wana roho mbaya. Kumbe ana diploma na mimi nina mzidi elimu akaona hii ni hatari ntampindua akasema hawezi kunituma mimi kwenye kazi maana kiprotocol mimi ni mkubwa hivyo basi ni dharau nikasema sawa.
Ile natoka nasikia anapokea simu mtu anaomba kazi akamjibu labda mimi niache kazi ndio utapata.

Wakuu morogoro hamna ajira
😥😂😂
 
Stor tu mkuu sikuwa hata na mia mfukon hata angenikubalia nisngefanya kit.

HATA HIVO NASHKURU KWA KULIONA HILI NIMEKUELEWA SANA MZEE.
alishakusoma una matatizo.. matatizo yanapiga kelele hata kabla hujaongea. ungekuwa vizuri si ajabu sasa hivi tungekuwa tunaongea mengine. kuna malofa tu hayajielewi lakini yanamiliki mahusiano na wazungu, sembuse wewe? fikiria sana hilo.. na strategy zako ziende sambamba na kumtafuta Mungu wako... uwe spiritually fit n stronger
 
Back
Top Bottom