Nahitaji kazi yeyote kama kibarua

Nahitaji kazi yeyote kama kibarua

MwaMlawa

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2026
Posts
400
Reaction score
857
Wakuu najua kila mtu anashida zake binafsi kwa kiwango chake ndyo maisha

Naomba mwenye kujua sehemu itapatikana kazi yeyote nisikae bure wadau

Hicho kibarua hapo shambani au kiwandani usidharau kidogo nahitaji

Nipe njia nipate kupeleka siku

Napatikana Iringa
0703826142
 
Nenda hapo stendi beba begi na shilingi elfu mbili ukifika utakimbiliwa na watu wengi wanakuuliza vipi unasafiri waambie ndio ila nataka mtu mmoja akanikatie tiketi chukua mmoja hao wengine watasambaa.

Wakisambaa muambie huyo jamaa unataka kufanya hiyo kazi mpe hiyo buku mbili akupe wenyeji kama mdogo wake wewe uwe chini yake

Hutakosa elfu kumi au 15 kwa siku. Ila zingatia kukaa vizuri na mwenyeji maana hao jamaa huwa wana ummoja wao unayambulika hapo stendi akija mgeni wanamjua na wanaleseni wewe kuwa kama mdogo wake usiwe na haraka za kunktegemea yaani wewe unavuta mtu unampasia yeye anakupereka kwa mabosi wa magari.

NB: Ukitoka kazini hakikisha unasoma kitabu cha How to iwin friends and influence people by Dale carnegie maana hiyo kazi unatakiwa uwe mjanja mdomoni kwa abiria, mwenye gari na hao wennyeji wako maana wote lengo lao ni pesa na wewe unataka pesa ukienda bila tahadhari utaharibu.
Zingatia kujiamini.
 
Hutakosa elfu kumi au 15 kwa siku. Ila zingatia kukaa vizuri na mwenyeji maana hao jamaa huwa wama ummoja akina mheni wanamjua na wanaleseni wewe kuwa kama mdogo wake isiwe na haraka za kunktegemea yaani wewe unavuta mtu unampasia yeye anakupereka kwa mabosi wa magari
Sawa mkuu nitajarib nitafanyia kaz ushauri
 
Kiwanda cha miwa kilombero, na mtibwa una pata kazi za viwandani na vibarua kwenye mashamba ya miwa, bila kusahau na mtibwa .
Morogoro kuna uhaba wa kazi mwaka flani kulikuwa na viwanda hapo kuanzia polyster, mazava , kiwanda cha ngozi na kile cha mchele karibu na bucha la malisa tulienda hapo kusaka kazi tukijua ni za ubwelele kufika nashangaa kuna nyomi ya watu kama mkutano wa Lowasa na hao watu wote wanataka kazi na kazi hamna walinzi walishawachoka kuwafukuza na njaa ni kali

Hiyo kazi mpaka nnatoka huko sikupata.

Nikasuka mkakati wa kupata kazi kwenye shirika la masister maana walinzi hawaruhusu mtu aingie ndani. Nikaanza kusali jumuiya ya mtaani lengo nipate barua ya utambulisho kuwa natokea jumuiya fulani nikafanikiwa kwa masimango , hiyo barua nikaenda nayo kwa paroko nikamwambia paroko mimi natokea jumuiya fulani nmemaliza chuo nataka nitoe sadaka kwa mungu sadaka ya maarifa nilkyoyasomea kwa kujitolea kupiga kazi kwa masister wa shirika fulani taasisi ya kitaaluma siitaji. Lengo ni kukutana HR nijipenheze hapo kisha wanisjiri

Paroko akaniandikia barua kuwa ananitambua na na ninatoa sadaka ya nguvu kazi hivyo basi nipokelewe maana mungu kanituma hapo.

Nikafanikowa kuonana na sister mkuu 😄 sikuwahi kujua kama hawa masister wana roho mbaya. Kumbe ana diploma na mimi nina mzidi elimu akaona hii ni hatari ntampindua akasema hawezi kunituma mimi kwenye kazi maana kiprotocol mimi ni mkubwa hivyo basi ni dharau nikasema sawa.
Ile natoka nasikia anapokea simu mtu anaomba kazi akamjibu labda mimi niache kazi ndio utapata.

Wakuu morogoro hamna ajira
 
Morogoro kuna uhaba wa kazi mwaka flani kulikuwa na viwanda hapo kuanzia polyster, mazava , kkwanda cha ngozi na kile cha mchele karibu na bucha la malisa tulkenda hapo kusaka kazi tukijua ni za ubwelele kufika nashangaa kuna nyomi ya watu kama mkutano wa Lowasa na hao watu wote wanataka kazi na kazi hamna walinzi walishawachoka kuwafukuza na njaa ni kali

Hiyo kazi mpaka nnatoka huko sikupata.

Nikasuka mkakati wa kupata kazi kwenye shirika la masister maana walinzi hawaruhusu mtu aingie ndani. Nikaanza kjsali numuiya ya mtaani lengo nipate barua ya utambulisho kuwa natokea jumuiya fulani nikafanikiwa kwa masimango , hiyo barua nikaenda nayo kwa paroko nikamwambia paroko mimi natokea jumuiya fulani nmemaliza chuo nataka nitoe sadaka kwa mungu sadaka ya maarifa nilkyoyasomea kwa kunitolea kupiga kazi mwa masister wa shirika fulani taasisi ya kitaaluma siitaji.

Paroko akaniandikia barua kuwa ananitambua na na ninatoa sadaka ya nguvu kazi hivyo basi nipokelewe.

Nikafanikowa kuonana na sister mkuu 😄 sikuwahi kujua kama hawa masister wana roho mbaya. Kumbe ana diploma na mimi nina mzkdi elimu akaona hii ni hatari ntampindua akasema hawezi kunituma mimi kwenye kazi maana kiprotocol mimi ni mkubwa hivyo basi ni dharau nikasema sawa.
Ile natoka nasikia anapokea simu mtu anaomba kazi akamjibu labda mimi niache kazi ndio utapata.

Wakuu morogoro hamna ajira
Viwanda vya miwa kazi zipo kibao, nikua pia nachukua wahudumu wa shamba binafsi ila kwa sasa wanatosha
 
😄
Hizo kazi wanafanya watu walioshiba akifika huko ataelewa ninachomaanosha.
Kuna dogo alikuwa na degre akapata kazi kiwanda cha mchele tulipolosa sisi .kazi ikianza unapewa mzigo wa magunia umimine kwenye kinu na wale jamaa wanavuta ganja ndo wanabeba yeye kafanya kazi siku mbili akakimbia alisema mgongo ulimuwa unawaka moto na anahizi slinal cord haina ushirikiano na medula oblongata
 
Morogoro kuna uhaba wa kazi mwaka flani kulikuwa na viwanda hapo kuanzia polyster, mazava , kiwanda cha ngozi na kile cha mchele karibu na bucha la malisa tulienda hapo kusaka kazi tukijua ni za ubwelele kufika nashangaa kuna nyomi ya watu kama mkutano wa Lowasa na hao watu wote wanataka kazi na kazi hamna walinzi walishawachoka kuwafukuza na njaa ni kali

Hiyo kazi mpaka nnatoka huko sikupata.

Nikasuka mkakati wa kupata kazi kwenye shirika la masister maana walinzi hawaruhusu mtu aingie ndani. Nikaanza kusali jumuiya ya mtaani lengo nipate barua ya utambulisho kuwa natokea jumuiya fulani nikafanikiwa kwa masimango , hiyo barua nikaenda nayo kwa paroko nikamwambia paroko mimi natokea jumuiya fulani nmemaliza chuo nataka nitoe sadaka kwa mungu sadaka ya maarifa nilkyoyasomea kwa kujitolea kupiga kazi kwa masister wa shirika fulani taasisi ya kitaaluma siitaji. Lengo ni kukutana HR nijipenheze hapo kisha wanisjiri

LABDA MIMI NIACHE KAZI
 
😄
Hizo kazi wanafanya watu walioshiba akifika huko ataelewa ninachomaanosha.
Kuna dogo alikuwa na degre akapata kazi kiwanda cha mchele tulipolosa sisi .kazi ikianza unapewa mzigo wa magunia umimine kwenye kinu na wale jamaa wanavuta ganja ndo wanabeba yeye kafanya kazi siku mbili akakimbia alisema mgongo ulimuwa unawaka moto na anahizi slinal cord haina ushirikiano na medula oblongata
Kikubwa kuwa na mkadirio angalia uwezo wako.
 
😄
Hizo kazi wanafanya watu walioshiba akifika huko ataelewa ninachomaanosha.
Kuna dogo alikuwa na degre akapata kazi kiwanda cha mchele tulipolosa sisi .kazi ikianza unapewa mzigo wa magunia umimine kwenye kinu na wale jamaa wanavuta ganja ndo wanabeba yeye kafanya kazi siku mbili akakimbia alisema mgongo ulimuwa unawaka moto na anahizi slinal cord haina ushirikiano na medula oblongata
Ni kweli kabisa 😅 wapuliza dawa kwenye miwa ina fika mpaka 25 kwa kutwa 😅 ni yeye tu na nguvu zake
 
Nenda hapo stendi beba begi na shilingi elfu mbili ukifika utakimbiliwa na watu wengi wanakuuliza vipi unasafiri waambie ndio ila nataka mtu mmoja akanikatie tiketi chukua mmoja hao wengine watasambaa.

Wakisambaa muambie huyo jamaa unataka kufanya hiyo kazi mpe hiyo buku mbili akupe wenyeji kama mdogo wake wewe uwe chini yake

Hutakosa elfu kumi au 15 kwa siku. Ila zingatia kukaa vizuri na mwenyeji maana hao jamaa huwa wana ummoja wao unayambulika hapo stendi akija mgeni wanamjua na wanaleseni wewe kuwa kama mdogo wake usiwe na haraka za kunktegemea yaani wewe unavuta mtu unampasia yeye anakupereka kwa mabosi wa magari.

NB: Ukitoka kazini hakikisha unasoma kitabu cha How to iwin friends and influence people by Dale carnegie maana hiyo kazi unatakiwa uwe mjanja mdomoni kwa abiria, mwenye gari na hao wennyeji wako maana wote lengo lao ni pesa na wewe unataka pesa ukienda bila tahadhari utaharibu.
Zingatia kujiamini.
Yaani amtafute ras Simba haraka sana maana hicho kitabu hakijaandikwa kibena.
 
Back
Top Bottom