Nahitaji Kazi ya Housekeeping

Hauogopi kusafisha chumba na choo cha boss?
 
Any One who deserves to be a wife!!

Bt awe Black also Tanzanian Lady!
I am a clientele of..........
Wewe fungua Thread ningine: "Natafuta Wife"... itasaidia. hapa tunaongea kuhusu kazi tu...
 
Any One who deserves to be a wife!!

Bt awe Black also Tanzanian Lady!
I am a clientele of..........
Uliniuliza nikakujibu,

haya Tuendelee na Kazi [emoji39] [emoji39]
 
Unakuja asubuhi maana yake utakuwa unajitegemea kwa malazi au? Hapo ni vizuri nifahamu umri wako, nione kama unaweza kuaminika kukaa mwenyewe na bado ukatimiza majukumu ya nyumbani yanayopaswa kuanza asubuhi sana!
 
umri 22
 
Kwa sasa uko wapi na unafanya nini? Je ulishawahi kufanya hiyo kazi kwa MTU mwingine au ndo unaitafuta kwa Mara ya kwanza?
Macho: black, nyuele: Brown, Umri 22, urefu: 1.6 m, uzito: 55 kg, Temeke - nyumbani. Jina: Happy. Kutoka: Dar, United Republic of Tanzania East Africa. Hapa kazi tu.
 
Macho: black, nyuele: Brown, Umri 22, urefu: 1.6 m, uzito: 55 kg, Temeke - nyumbani. Jina: Happy. Kutoka: Dar, United Republic of Tanzania East Africa. Hapa kazi tu.
Nadhani taarifa zote nilizohitaji nimezipata kasoro moja tu- contact number (namba ya Simu kwa mawasiliano zaidi)
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…