Angel Suzie
Member
- Dec 27, 2015
- 68
- 15
- Thread starter
- #41
naandiaka vizuri so you get my point kaka yangu. mungu akubariki wewembona unajiquote mwenyewe
naandiaka vizuri so you get my point kaka yangu. mungu akubariki wewembona unajiquote mwenyewe
nilikwambia tangu jana mimi ni mwanamkenaandiaka vizuri so you get my point kaka yangu. mungu akubariki wewe
sisi tunataka mabadiliko, na maisha mazuri. marafiki wote wanakaa nyumbani, na cheti kutoka shule..bila kazi. kupoteza muda kufanya bure kwa wahindi tumeshachoka...hii ndio tanzania sasa ukianzxa kuota ndoto za canada na usa utazeeka nyumbani
pole dada Miss.. LOLnilikwambia tangu jana mimi ni mwanamke
eti dada, we unafanya kazi spin n span? kampuni ya usafi? pale upanga?nilikwambia tangu jana mimi ni mwanamke
Andika vzr..umeshtua dry??Du.. Spik n span? Ha, rafiki yangu Peter amefaya huku Spik na span miaka kama 7, wahindi hawataki kulipa mshahara nzuri, wamefkuzwa kazini, wanadharau watu sana.. Na ningine anaitwa Fransis, amepeleka manager zao Billi ya Spik n Span kwenda polici.. Sasa Billi amekimbia sasahivi anafanya kazi marekani. Hata mama ya kampini amekimbia marekani, ameacha hii kampuni, hayopo huyu anaitwa dada Sharmin Esmail...Sasahivi mazingira huko sio nzuri.
toka hapo nyumbani ukafanye kwa wahind utengeneze mtaji kama kweli una nia ya kazi ......hakuna ajira my friend kwa sasa mahotel maofisi maduka yanafungwasisi tunataka mabadiliko, na maisha mazuri. marafiki wote wanakaa nyumbani, na cheti kutoka shule..bila kazi. kupoteza muda kufanya bure kwa wahindi tumeshachoka...
mbona watu wanaamka mapema sana asubuhi, kama maofici yanafungwa, watu wanaenda wapi asubuhi sana?toka hapo nyumbani ukafanye kwa wahind utengeneze mtaji kama kweli una nia ya kazi ......hakuna ajira my friend kwa sasa mahotel maofisi maduka yanafungwa
mbona watu wanaamka mapema sana asubuhi, kama maofici yanafungwa, watu wanaenda wapi asubuhi sana?[/QUOTE
hahah sio kweli, au wanaamka kupata waschana tu saa mmoja asubuhi jamani? hapana, watapeli wamefungwa maofici kama Home shopping center, na wengine kutoka kariakoo na mjini. watu wengine na biashara safi wanaandelea kama kawaida.kuzurura
hahaha anataka kuajiriwaKwa nini asijiajiri mwenyewe hata kwa kuanza umachinga wa nguo za watoto au wakubwa kike na kiume. Ilala pale akiwahi asubuhi anapata t shirt, blouse, skirt za buku nzuri tu ambazo anaweza uza kitaa elf 3,5 mpaka 10. Juzi nilikua shopping binafsi nimepata t shirt 5 kwa elf 5, tracksuit 1 kali kwa elf 5.
ccm tu ndo wezihahah sio kweli, au wanaamka kupata waschana tu saa mmoja asubuhi jamani? hapana, watapeli wamefungwa maofici kama Home shopping center, na wengine kutoka kariakoo na mjini. watu wengine na biashara safi wanaandelea kama kawaida.
huyu ni mzima?kuzurura
nani mie?huyu ni mzima?
hamna huyu malaikanani mie?
Ivi wewe ni mtanzania kweli??sio wote, unajua kama CCM hamna tena, itakuja INSTABILITY kama in Kenya.. at least CCM is predictable, na amani ndani ya nchi... nimesikia JEWS kutoka Israeli wanasumbua kila nchi, hata hapa pia, nimesoma kwenye gazeti, wanataka kudestroy kila nchi. CCM is good for Tanzania. Kwasababu hamna usumbufu, hamna instability, hamna al-shabab na vita. Kama mtu mjinga, hata kama anaishi marekani, ni mjinga. Hela na biashara, na maisha mzuri inaanza kichwani kwanza. na moyoni. sio sehemu. unafikiri Trump sio mwizi? Trump ameshaanza kuingia kwenye biashara za OIL in Canada, na watoto wake wanaendelea kazi yake ya kuiba BIG TIME sasahivi. Huyu ni Actor tu, anaongea saaaan kujenga Ukuta Mexico boda, watu anaangalia ukuta na Trump anaiba mafuta kutoka Canada sasahivi. Fresh sana...na speed yake oooy kubwa sana. Huyu ni mwizi za ukweli. Anaongea vibaya sana lakini wanarafiki kila sehemu, na hela. Anajua show off nzuri. Na Bush ameiba kutoka Saudi, kila sehemu wanapata chance wanaiba. CCM wanaleta stability, kama mtu anataka mabadiliko, anaanza nyumbani kwake, na anaamka mapema kutafuta hela, atapata.

Ahsante AngieNana Brain, avatar yako ni nzuri sana.
LOL you made my day, ndio kaka. Mama yangu ni mwalimu na CCM member anamiaka 67 sasahiviIvi wewe ni mtanzania kweli??![]()
![]()
![]()