Nahitaji Kazi ya Housekeeping

Nahitaji Kazi ya Housekeeping

I wish LOL asante, moyo yangu inauma kama naona watu wanapata kidogo..
Unakosea Suzie, siku zote watu huanzia chini kupanda juu, hii ina maana sana katika maisha. Ikiwa unataka kuanzia juu utaumia kwa kusubiri na ukipata jiandae kisaikolojia kwani utashuka tu
 
Una point hapa, nakubali, lakini nasema semi ningine sio nzuri kuanza maisha, unapoteza muda tu.. kusema ukweli.
 
I wish LOL asante, moyo yangu inauma kama naona watu wanapata kidogo..
unapata kutokana na kiwango cha elimu yako ungeenda shule ungekuwa na haki ya kutaka mshahara wa kutisha sasa shule hujaenda umefanya kujifunza kwenye kampuni ambayo sijui kama imekupa cheti halafu unataka mshahara mkubwa hahahaha unacheza wewe go back to school
 
Du.. Spik n span? Ha, rafiki yangu Peter amefaya huku Spik na span miaka kama 7, wahindi hawataki kulipa mshahara nzuri, wamefkuzwa kazini, wanadharau watu sana.. Na ningine anaitwa Fransis, amepeleka manager zao Billi ya Spik n Span kwenda polici.. Sasa Billi amekimbia sasahivi anafanya kazi marekani. Hata mama ya kampini amekimbia marekani, ameacha hii kampuni, hayopo huyu anaitwa dada Sharmin Esmail...Sasahivi mazingira huko sio nzuri.
We lazima utakuwa mhindi, correct me if I'm wrong.
Maana nilpokuwa nasoma nimesoma Ki rafudhi ya Kihindi kutokana na ulivyoandika.
 
unapata kutokana na kiwango cha elimu yako ungeenda shule ungekuwa na haki ya kutaka mshahara wa kutisha sasa shule hujaenda umefanya kujifunza kwenye kampuni ambayo sijui kama imekupa cheti halafu unataka mshahara mkubwa hahahaha unacheza wewe go back to school
School? Hapa kazi tu, nimesoma mpaka basi, cheti inatosha ya maisha tatu... jamani, kila mtu anajua hata kama una cheti kutoka London UK, unakaa bila kazi, unaomba watu kusaidia kutapa sehemu hzuri.. you get my point?
 
I wish LOL asante, moyo yangu inauma kama naona watu wanapata kidogo..
Marekani na Canada pale, watu wa usafi wanapata Dolla 12-15 kwa saa mmoja. Kufanya maihsabu, kwa mwezi unayo millioni kama nne na kitu. Jamani hapa maisha itapanda lini?? Watu wazuri wanakaa tu nyumbani...
 
School? Hapa kazi tu, nimesoma mpaka basi, cheti inatosha ya maisha tatu... jamani, kila mtu anajua hata kama una cheti kutoka London UK, unakaa bila kazi, unaomba watu kusaidia kutapa sehemu hzuri.. you get my point?
no unaandika kama uhuru kenyata kwahiyo kukuelewa ni ngumu ngoja nirudie kusoma labda nitakuelewa
 
Marekani na Canada pale, watu wa usafi wanapata Dolla 12-15 kwa saa mmoja. Kufanya maihsabu, kwa mwezi unayo millioni kama nne na kitu. Jamani hapa maisha itapanda lini?? Watu wazuri wanakaa tu nyumbani...
hii ndio tanzania sasa ukianzxa kuota ndoto za canada na usa utazeeka nyumbani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom