Angel Suzie
Member
- Dec 27, 2015
- 68
- 15
- Thread starter
- #61
Please call me ANGEL LOL ….. ahsante nice dayAhsante Angie
Please call me ANGEL LOL ….. ahsante nice dayAhsante Angie
Call me ANGEL LOL kazi njema…..hamna huyu malaika
ndo maana unafikiria kwa kwenda nyuma mwambie mama yako amsaidie huyu anaetafuta kaziLOL you made my day, ndio kaka. Mama yangu ni mwalimu na CCM member anamiaka 67 sasahivi
ndo maana unafikiria kwa kwenda nyuma mwambie mama yako amsaidie huyu anaetafuta kazi

unacheka tena ahahaha
Fear of unknown is not beneficial for unrelated circumstances in unpredictable situation.
Anataka mshahara wa sh ngapi?
inategemea na mtejaAnataka mshahara wa sh ngapi?
nani anaenda nyuma?ndo maana unafikiria kwa kwenda nyuma mwambie mama yako amsaidie huyu anaetafuta kazi
Mteja mtarajiwa ni Mimi!inategemea na mteja
watu wengine kama wameshajua kazi wanafanya huko sehemu ningi na mshahara ni kama laki mbili au laki tatu wanapata. watu wanalipa vizuri kama mtu anajua kazi. bahati yangu najua ....kwa kazi hii ya housekeeping unategemea kulipwa bei gani?
Naomba kazi kwakoMteja mtarajiwa ni Mimi!
Huyu anataka kazi anaweza kufanya kila kitu 🙂Mteja mtarajiwa ni Mimi!
Happy anaweza kupika chakula nzuri unaweza kung'ata vidole.. anasafisha nyumba kama hoteli... raha tuMteja mtarajiwa ni Mimi!
Nitarajie utafanya kazi zipi? Hebu nipe mpangilio wa kazi zako unazotarajia kufanya nyumbani kwangu, ukiainisha muda wa kuanza kazi na kumaliza. Familia ya watu watano, hakuna MTOTO Mdogo, ila kuna nyumba kubwa na eneo kubwa LA BUSTANI kuzunguka nyumba.Naomba kazi kwako
Me sihitaji mfanyakazi,Huyu anataka kazi anaweza kufanya kila kitu 🙂
jamani, unataka design gani? kama Lady JD na hela? au kama jobless wote sawa?Me sihitaji mfanyakazi,
nahitaji Binti wakuoa, kama yuko tayari anicheck
+233 725 352 498.
Jamani hii codi ya nchi gani? Nigeria tena?Me sihitaji mfanyakazi,
nahitaji Binti wakuoa, kama yuko tayari anicheck
+233 725 352 498.
Nakuja asubuhi, nafagia nyumba, natoa bustani naweka maua, napika Continental Breakfast kama hotelini, na chai, nasafisha chumba cha boss na choo yake na dawa. Naweka kila sehemu Airfreshener fragrance. Naendelea na kazi ningenezo. Boss anarudi anafurahi sana na anakupa mshahara kubwa. 🙂 🙂 🙂Nitarajie utafanya kazi zipi? Hebu nipe mpangilio wa kazi zako unazotarajia kufanya nyumbani kwangu, ukiainisha muda wa kuanza kazi na kumaliza. Familia ya watu watano, hakuna MTOTO Mdogo, ila kuna nyumba kubwa na eneo kubwa LA BUSTANI kuzunguka nyumba.
Any One who deserves to be a wife!!jam
jamani, unataka design gani? kama Lady JD na hela? au kama jobless wote sawa?