Nahitaji Kazi ya Housekeeping

Du.. Spik n span? Ha, rafiki yangu Peter amefaya huku Spik na span miaka kama 7, wahindi hawataki kulipa mshahara nzuri, wamefkuzwa kazini, wanadharau watu sana.. Na ningine anaitwa Fransis, amepeleka manager zao Billi ya Spik n Span kwenda polici.. Sasa Billi amekimbia sasahivi anafanya kazi marekani. Hata mama ya kampini amekimbia marekani, ameacha hii kampuni, hayopo huyu anaitwa dada Sharmin Esmail...Sasahivi mazingira huko sio nzuri.
 
Du.. Spik n span? Ha, rafiki yangu Peter amefaya huku Spik na span miaka kama 7, wahindi wawataki kulipa mshahara nzigu, wamefkuzwa kazini, wanazarau watu sana.. Na ningine anaitwa Fransis, amepeleka manager Billi ya Spik n Span polici.. Hapa Billi amekimbia sasahivi anafanya kazi marekani. Mpaka mama ya kampini amekimbia marekani, ameacha hii kampuni, hayopo huyu anaitwa dada Sharmin Esmail...
mbona hawa wa hapa ofisini kwetu wanalipwa vizuri tu hawana matatizo miaka 7 ufanye kazi bila mshahara acha uongo wewe
 
Na rafiku yangu Ester amefanya kazi pale Spik n Span wamepeleka Feza kindergarten, amekimbia pia.. Watu wengi hawapendi.
 
hebu tulia uandike vizuri
Naanadika vizuri hapa: Kaka mmoja anafagia Shoppers Plaza ya Oysterbay/Masaki pale Haile Selassie kutoka spik n span ametafuta kazi kwenye ofici sista yangu anafanya kazi, anaitwa Saidi. Sasa huyu kaka anasema mshahara yake ni ndogo sana ni elfu 100,000 kwa mwezi. Na nauli wanaongeza elfu 20,000 kwa mwezi!! Haitoshi kabisa...Unatoa garama ya chakula na nauli kila siku, luku, vocha, na ningine, unabak na elfu 2 kwa mwezi kama unabahati... Watu wengi naona wanafanya kazi bure tu pale. Wengi wameshaenda sehemu ningine, na malipo nzuri, halafu hakuna usumbufu.
 
kwa kazi hii ya housekeeping unategemea kulipwa bei gani?
 
Naanadika vizuri hapa: Kaka mmoja anafagia Shoppers Plaza ya Oysterbay/Masaki pale Haile Selassie kutoka spik n span ametafuta kazi kwenye ofici sista yangu anafanya kazi, anaitwa Saidi. Sasa huyu kaka anasema mshahara yake ni ndogo sana ni elfu 100,000 kwa mwezi. Na nauli wanaongeza elfu 20,000 kwa mwezi!! Haitoshi kabisa...Unatoa garama ya chakula na nauli kila siku, luku, vocha, na ningine, unabak na elfu 2 kwa mwezi kama unabahati... Watu wengi naona wanafanya kazi bure tu pale. Wengi wameshaenda sehemu ningine, na malipo nzuri, halafu hakuna usumbufu.
hakuna kazi isiyo na usumbufu... HAWA wa hapa kwetu wanajiongeza kuna anayetuuuzia matunda ukimtuma azima akuchaj wanAOASHA MAGARI KWA SIKU UNAKUTA ANATOKA NA PESA YA KUTOSHA NA KUNA WAWILI WAMEJENGA NYUMBA MMOJA ANSAITWA MARIAM MWINGINE DORA MAARIFA WAMEYAPATA HAPA HAPA.. KAFANYE KAZI UPANUE AKILI WACHA KUSIKLIZA STORI ZA WENGINE
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom