Habari ndugu zangu.
Kama nilivyoeleza hapo juu nataka kukatia bajaj yangu bima kubwa tatizo sijui ni kampuni gani ya uhakika ambao siyo wa babaishaji pale mteja wao anapopata tatizo lolote.
Naombeni ushauri wenu siangalii wanatoza % ya thamani ya bajaji bali uhakika wa kupewa stahili yangu pale itakapotokea shida yoyote iwe ajali au wizi.
Ahsanteni