Nahitaji kampani yako

Ha ha haa, I can be anywhere si unajua tena dunia ishakuwa kijiji ?, Sembuse Tanzania moja.. Kwa dakika hii nipo latitude na longitude ila kesho sijui takuwa wapi labda huko ulipo3° 22' 0" S / 36° 41' 0" E

kumbe wewe ni lubani?
 
inausika sana.....usije ukawa mpelelezi wa jamii forum

Wla hilo sahau....me nahitaji tu kupata marafiki wa ukweeli kutoka JF ili hata cku likintokea la kutokea waweze kutoa taarifa bana, kuwa na marafiki magreit sinka na wewe unakuwa greit sinka
 
Kama hujapata sehemu ya kufikia usijali, nitakupokea kwa mikono miwili.
 
mi nakukaribisha kwangu...kigamboni mikadi beach..ukichoka kukaa beach basi tunaenda kupumzika kwangu..i cook well btw..karibu!
 
Lat 3 ni usawa wa shy/nzega, long ni usawa wa pwani.

Utakuwa mkoa wa Tanga au Pwani.

Ha ha haa, I can be anywhere si unajua tena dunia ishakuwa kijiji ?, Sembuse Tanzania moja.. Kwa dakika hii nipo latitude na longitude ila kesho sijui takuwa wapi labda huko ulipo[h=3]3° 22' 0" S / 36° 41' 0" E[/h]
 
Umri kumbe hauniruhusu maana mi nshakuwa kadingi. Umri huo unamfaa Lundenga and the company.
 
Back
Top Bottom