Nahitaji kampani yako

umeolewa au la?

una shugulika na nn kwa sasa?

poa. umli wako?

Shem,bado hatujaweza kukubali kuwa watu wa jinsia tofauti wanaweza kuwa na mahusiano ya kawaida bila kuhusisha mapenzi.Aibu sana!

We acha tu shemegi yangu,halafu wanaoanza kuwaza mambo mengine mbali ya urafiki wa kawaida ni nyie.Yaani mdadaukifurahia tu kampani ya mkaka ukawa unamuomba muwe mnahang pamoja mwenzio tayari anaanza kuwaza kuwa unamtaka kimapenzi.
 
halafu wanaoanza kuwaza mambo mengine mbali ya urafiki wa kawaida ni nyie

hii ina-cut both ways, si kwa akina kaka tu...

...Yaani mdadaukifurahia tu kampani ya mkaka ukawa unamuomba muwe mnahang pamoja mwenzio tayari anaanza kuwaza kuwa unamtaka kimapenzi.

it is so unfortunate kwamba tuna tendency ya ku-focus sana kwenye mapenzi (pande zote mblli), but urafiki wa kawaida ni very enjoyable na hakuna hard feelings...
 
jamani kaomba kampani tu,hajasema anatafuta mchumba.

Ninaogopa sana mke wa mtu, mwanafuzi na under18. Sitaki kwenda jera.

utakapo kutwa sehemu furani watuwegi watakujaji tofauti justwhy? nimuhuliza izo detail sikuwa na maana tofauti mdau.
 
mrembo by artificial...naona unatokea Singida manyoni kwa washambaaaaaaaaa...karibu jiji la maraha kwa anayetaka...
 
mrembo by artificial...naona unatokea Singida manyoni kwa washambaaaaaaaaa...karibu jiji la maraha kwa anayetaka...

Uartificial wangu uko wapi hapa? sina kitu artificial hata kimoja, angalia hiyo picha vizuri au hicho kirash ndo kimekutishia?? haya bwana me kweli wa manyoni, kwani yupo aliyezaliwa pale ubungo mataa?? wengi wetu huko pembezoni ndio kwetu so mimi sio wa kwanza kutokea huko
 
Back
Top Bottom