Nahitaji iphone 4

Easymutant

R I P
Jun 3, 2010
2,564
1,129
Mwenye kujua wapi naweza kupata iphone 4 ya 16GB ani pm nataka mpya ..
slightly used sijui used from Gongo la mboto sizitaki
 
Hii wakuu nisaidieni kujua IPHONE 4 inafanya kazi na mitandao gani ya Tanzania?

we hujui unataka nini... yaani unauliza swali linaloonyesha hujawahi kuwa na simu..iphone 4 and the like ni simu kama simu zingine tu...the only difference ni kuwa inatumia micro sim card
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom