Nahitaji huduma ya ushauri nasaa

Magpie

Member
Aug 26, 2009
70
7
Jamani wan JF naitaji msaada wa kuelekezwa wapi na weza pata huduma ya ushauri nasaa kwa hapa dar es salaam, i have some family problems which are eating me up big time and make my life a living hell. nitafurahi kama nitapata mshauri wa kike, asanteni.

my e mail. j-ob23@hotmail.com, naitaji msaada haraka.
 
Pole kwa matatizo hayo.
Sirias kuna watoa-ushaur wengine nao wana-aleji na gender flani. Inabidi uweke wazi wewe ni WAKIUME au WAKIKE!
 
Jamani wan JF naitaji msaada wa kuelekezwa wapi na weza pata huduma ya ushauri nasaa kwa hapa dar es salaam, i have some family problems which are eating me up big time and make my life a living hell. nitafurahi kama nitapata mshauri wa kike, asanteni.

my e mail. j-ob23@hotmail.com, naitaji msaada haraka.

pole sana kwa matatizo unayokabiliana nayo,

usiyahukumu maisha yako kua "a living hell" unapaswa kuamii kuwa you can do something to make it easier and enjoyable, and finally make your life happier and comfortable, yes some did and are now enjoying their lives/homes more than ever!

umekosea hapo uliposema "wa kike" mimi ni mtaalamu wa mambo ya ndoa na nina mafanikio mengi sana katika ushauri nasaha kwa matatizo ya ndoa, lakini bahati mbaya mi ni mwanaume!
 
PYTHEME122309.jpg
 
Jamani wan JF naitaji msaada wa kuelekezwa wapi na weza pata huduma ya ushauri nasaa kwa hapa dar es salaam, i have some family problems which are eating me up big time and make my life a living hell. nitafurahi kama nitapata mshauri wa kike, asanteni.

my e mail. j-ob23@hotmail.com, naitaji msaada haraka.

Pole mwenzetu. Lakini kwa nini unataka mshauri wa kike tu??? maana nafahamu wataalamu wa mambo hayo ambao si wa kike, lakini labda una sababu maalumu. Lakini ni vyema ukaweka wazi wewe mwenyewe u jinsia gani.
Nawaomba wan Jamii mliowataaluma au wazoefu wa mabmo ya mahusiano msaidieni mwenzetu, na wasilianeni nae moja kwa moja kwa vile ameweka e-mail yake.
 
kuna wimbo mpya wa T.I unaitwa A HELL OF LIFE!...nenda kausikilize na kutazama shooting yake ndipo utaona kuwa wewe huna matatizo kabisaaaaaaaa
 
Inaelekea ana matatizo makubwa na ninahisi anataka mshauri huyo awe mwanamke ili awe huru na wazi zaidi kujieleza. Hii inakubalika naomba msimbeze kwa vile mimi siyo mtaalam ninashauri kwanza awaone wataalam wa ustawi wa jamii ambao wapo kila wilaya.
 
jinsia yangu ni ya kiume, miaka 27, nakushukuru the boss nitaenda Tumaini hospital.
wadau msinielewe vibaya kuchagua mshauri mwanamke, najiona kua huru zaidi kuongea na mwanamke.
pia nashukuru wote mlio tumia muda wenu na kuchangia mawazo yenu juu ya ishu yangu, Mungu awabariki sana.
 
yaani kumbe wewe ni manaume halafu unatafuta mshauri mwanamke, i thought ur a girl, mmmh wewe nawe una yako mambo.pole
 
Back
Top Bottom