Nahitaji Huawei Y300 iliyokufa

Nahitaji Huawei Y300 iliyokufa

Donpela

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2011
Posts
2,040
Reaction score
592
Habari wadau.

Rejea apo juu nina shida na huawei y300 nyeusi iliyokufa.Nashida nayo kama toy kwa mwanangu.

Ameipenda simu yangu sana na anaililia mno.

Namba yangu ni 0787 408180.

Dau 30k
 
Habari wadau.

Rejea apo juu nina shida na huawei y300 nyeusi iliyokufa.Nashida nayo kama toy kwa mwanangu.

Ameipenda simu yangu sana na anaililia mno.

Namba yangu ni 0787 408180.

Dau 30k

Mnunulie mwanao vitu vitakavyomjenga kiakili!
kumbuka huyo ni mtoto ambaye unaweza kumgeuzia bluee ikawa njano na bado akaamini ni blue.

Mjenge kimawazo mnunulie michezo yenye kumjenga ili aamini simu si bora kwake.

30K inatosha kbs.
 
Twilumba nashukuru sana kwa ushauri wako na najitahid kweli kufanya hivyo..
Ila anapenda kushika na kurusha simu..s3 moja niligawa hivi hivi baada ya jamaa kuibwaga
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom