Nahitaji hdd ya desktop 320gb sata used nina 30,000/= Tshs

Nahitaji hdd ya desktop 320gb sata used nina 30,000/= Tshs

gmabumbe

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2013
Posts
340
Reaction score
39
Habari wana jf!
Nahitaji hdd ya desktop 320gb sata iwe mzima kwa ku install windows. offer yangu ni 30,000/= mwenye nayo anichek kwa namba hii 0716-844978 au ni pm.
kwa walio DSM tu.
 
30,000/- for 320GB SATA Hard Drive? You are not serious mkuu.
 
Ht za 10000 zipo,wacha waje wakuuzie dealers wenyewe!!
 
HDD 320GB kwa 30,000/=!? Hata kama ni used, sio maembe unless haupo serious!
 
agiza eBay zipo tena cheap zaidi ya hiyo
 
je kwa desktop cpmplete used za kawaida kwa personal home use zinaweza kuwa zinauzwa shilingi ngapi? HP au Dell
 
je kwa desktop cpmplete used za kawaida kwa personal home use zinaweza kuwa zinauzwa shilingi ngapi? HP au Dell

150,000 zimejaa kibao kkoo pamoja na monitor ya inch 17 hadi 200,000 unapata.
 
badala ya kutaja bei wewe unataja transport cost!

kazi ipo !
 
Back
Top Bottom