Kama atakuwa anazinywea nyumbani, hakuna tatizo lakini kama ndo atakuwa anazinywea huko na marafiki zake, kunaweza kuleta tatizo kwa baadhi ya watu na baadhi ya ndoa.Katika ndoa mwana
ndoa mmoja
(mwanaume) akiwa
hatumii pombe lakni
mwanamke anatumia
kutakuwa na athari
zozote zitakazoweza
kupelekea ndoa kuingia
ktk migogoro???
Ndege wapatanao ndio warukao pamoja.
Ni ngumu kwa asiyekunywa kuishi na mnywaji.
Hiyo hairuhusiwi kabisa!!! Ni kosa sanaa, akilewa atatongozwa na kutoa mzigo kirahisi
Niltaka kusema hayo. Ahsante Mpwa..
Kama atakuwa anazinywea nyumbani, hakuna tatizo lakini kama ndo atakuwa anazinywea huko na marafiki zake, kunaweza kuleta tatizo kwa baadhi ya watu na baadhi ya ndoa.
'Usawa' hapo ndipo chanzo cha matatizo mengi yanapoanzia.Tunatafuta usawa siku hizi. Msitudanganye ati mwanamke kulewa haipendezi. Tutalewa na kulala bar hadi mjipange.
Cc Ndibalema, watu8, Nicas Mtei